Corona: Tusinyoosheane vidole. Kama unaweza kusaidia, please do. Usisubiri uombwe - jitokeze saidia, vinginevyo nyamaza!

This is what is gonna happen within the next month

Paracetamol zitaadimika

Wagonjwa watalalamika

Serikari itasema kawaida huwa wanaoda kutokana na historical data za matumizi na MSD walikuwa na stock ya kutosha.

Lakini wanakubali kuna uhaba umesababishwa na gonjwa la Korona na wameshatoa order zipo njiani (kufika hadi kusambazwa kama mwezi)

A lot of people will suffer kwa muda huo na pengine kupoteza maisha kwa sababu ya uzembe na kukosa mipango.

I take wagers on that occurrence
 
Wanabodi,

Kila nipatapo fursa, huwaletea mfululizo wa makala zangu elimishi za kuhamasisha uzalendo zinazoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa ziko kwa mtindo wa maswali. Makala ya leo sio ya swali bali ni wito.

Tanzania ni nchi yetu sote, na imetokea sisi Watanzania tuko wengi na tumetapakaa duniani kote. Kutokana na kutapakaa huku, Watanzania tofauti tofauti tuna uwezo tofauti na exposure tofauti kutokana na experiences tofauti tofauti ya huku tulipo, lakini bado tunawajibu wa kuelekeza uzalendo wetu kwa nchi yetu, Tanzania yetu au Mama Tanzania, hivyo kama kuna mwenzetu yeyot, mwenye uwezo wowote wa kusaidia, asaidie, ama kama yuko kwenye nchi yoyote, yenye mazingira sawa na yetu, wenzetu huko kuna kitu wamefanya kikasaidia, na kitu hicho sisi tunaweza kufanya kikasaidia, then saidia nchi yako kwa kushauri, what should we do, ili kuisaidia nchi yako.

As the Corona situation ya maambukizi ya local transmissions is escalating, nimenote huku kwenye mitandao ya kijamii, baadhi yetu tumeanza kunyoosheana vidole vya kulaumu, kuwa hatukufanya hiki au kile ndio maana maambukizi yamefikia kiwango hiki, kwa hapa tulipo, badala ya kulaumu, nini hakukufanyika, toa ushauri wa kusaidia, lets share the best practices za nini kifanyike sasa kusaidia hapa tulipo before its too late.

Tangu kuibuka kwa janga hili la Corona Mwezi December mwaka jana, kila nchi ilichukua hatua za kuzuia na kujiandaa kukabiliana nayo ki vyake vyake. Sisi Tanzania pia kupitia serikali yetu nasi tulichukua hatua kivyetu. Ziko nchi za jirani zetu wao waliamua kuchukua hatua zao kwa copy and paste ya nchi nyingine walichofanya ikiwemo hatua ya lockdown, Tanzania tukaamua hatuigi, hakuna lockdown na rais wetu Magufuli kutuondoa wasiwasi kwa kusema Tusitishane, na kutuhimiza Watanzania tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo ya kitaalamu na kusema haka ka Corona ni ka ugonjwa kadogo, ni kashetani, tuka mkabidhi Mungu, na kwenye Mungu akatenda. Tatizo la Corona wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100% - JamiiForums

Mwanzoni Mungu ametenda na mpaka sasa anaendelea kutenda, jana tumemaliza siku 3 za maombi ya kitaifa dhidi ya janga la Corona, hivyo tunamuomba Mungu huku tunajisaidia.

Kufuatia kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya Corona, huku kwenye mitandao ya kijamii, tunaanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuwa Corona inasambaa kwasababu hatukufanya abcd.

Hii ni mifano

Mkuu Nguruvi3 at this juncture, lets stand as one kusaidia. Je, Watanzania wenye uwezo wa kusaidia, jee tuisaidiaje serikali yetu ili ishindindwe?.

Kwa vile sasa ni April na umma haupukutiki bali unaambukizwa, na kwa vile umeishajua kuwa mwezi May umma utapukutuka, hivyo unashauri tujiandae kuona umma unavyopukutika!, kwanini usisaidie kuzuia umma wa Watanzania usipukutike?

Usaidizi huo, sio lazima uwe kama ule wa Rostam Aziz or Mo Dewji, bali hata kwa kuandika tuu humu jf na vyombo vyetu vya maamuzi watasoma na kufanya uamuzi wafuate au waache, ili itakapofika hiyo May, tutakapo anza kuona na kushuhudia jinsi watu wanavyopukutika, angalau tutasema, tuliona kabla, tukaonya, tukashauri, tukapuuzwa na sasa haya ndio matokeo.

Kwenye situation hii tuliofikia, swali langu hili
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums

Mkuu Retired, if you can help, just help out, kama una ushauri mzuri wa jinsi ya kusaidia, wewe toa tuu huo ushauri, sasa issue ya kama ushauri wako utapokelewa utakubaliwa au utafanyiwa kazi au laa, hili sio letu, hili ni la ngazi za maamuzi, whether ushauri wako utatekelezwa au utapuuzwa, hili sio lako, wewe utakuwa umetimiza wajibu wako na huu ndio uzalendo wako kwa nchi yako.

Hitimisho
Nimalizie kwa kutoa wito, janga la Corona ni janga letu sote sisi Watanzania, haijalishi uko wapi na unaishi nchi gani, as long as wewe ni Mtanzania, hata kama umejilipua, lakini kwenu ni Tanzania, una wajibu wa kuisaidia nchi yako kwenye nyakati kama hizi. Huu sio wakati wa kulaumiana na kunyoosheane vidole vya we didn't do this and that, huu ni wakati wa kusimama pamoja, kushikamana na kusaidiani, kama unaweza kusaidia kwa lolote, chochote, hali na mali au hata ushauri tuu to help out the situation, please just do!, usisubiri uombwe, msaada na yeyote. Jitokeze tuu saidia!. Vinginevyo...Nyamaza!

Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Naweza kusaidia kwa kutangaza kuwa Dar imefungwa rasmi from today,no kuingia no kutoka?
 
bro unaongea ukweli ila wanao laumiwa si wapo? wamejifungia huko mafichoni ? wamekimbia vita na wao walituaminisha corona ni kama wapinzani? kwamba ni kakitu kadogo sana tuchape kazi? sasa watoke huko waje watubu, waongoze mapambano
 
Pascal, Wewe ni culprit No 1, uliyekuwa unabeza COVID -19. Sasa utahukumiwa kwa yote uliyo yaaandika kubeza hii virus. Kuna watu humu ni virus SURVIVORS na effects zake, walionya, na wewe kwa ncha ya peni yako/keyboard na ubongo wake kwa makusudi kabisa ukawa unapotosha. Understand that, wewe ni "Journalist" uliyebobea kwa "standard ya Tanzania", na unao followers wengi sana. Kwa hiyo tu lazima ubebe mzigo wa yote uliyo yaandika, hata baada ya kuonywa.
 
Tusaidie kwanza kujua tunamshauri nani hasa Kati ya waziri wa afya,waziri mkuu au rais? Maana mmoja kati ya hao alishatangaza kabisa kwamba ukimshauri ndo umepoteza,sasa ili tusipoteze muda wetu be specific,TUNA MSHAURI NANI?
 
Simba wamevamia kijijini, watu wakatangaziwa waingie majumbani na wafunge milango mpaka hao simba watakapodhibitiwa.

Kwenye kaya moja baba mwenye nyumba akasikika akijigamba kwamba hakuna kufunga milango kwani simba si chochote si lolote hawana la kuifanya kaya yake.

Ghafla simba wakaivamia nyumba na wakaingia mpaka ndani. Hapa na pale baba akafanikiwa kufunga mlango lkn tayari simba kadhaa walishaingia ndani na kuwadhibiti ni ngumu. Ndani kuna simba na nje kuna simba, wakajikuta wako kwenye dilemma maana hakuna pa kukimbilia.

Wakati haya yanatokea baba alikuwa nyumba ya uani huku akiwa amefunga milango yote na maagizo akiyatolea dirishani.

Mpaka sasa kijiji kinahoji kulikuwa na haja gani ya kusubiri simba waingie ndio tufunge milango? Sababu kwa vyovyote vile ilikuwa lazima milango ifungwe, iwe simba wakiwa wameshaingia ama kabla hawajaingia. Sasa wanakijiji wanajiuliza kwa nini hii familia ilisubiri mpaka simba wamewavamia ndio wafunge milango?

Unforgetable
Mkuu wababa wa aina hiyo huku kwenye nchi ya wadanganyika,wanaitwa wametoka kwa Mungu ili waje kuwakomboa watoto wao walioteswa na Simba kwa muda mrefu
 
Naweza kusaidia kwa kutangaza kuwa Dar imefungwa rasmi from today,no kuingia no kutoka?
Huwezi kusaidia kwa kutangaza hivyo kwasababu wewe huna mamlaka hayo, bali unaweza kusaidia kwa kutoa ushauri kwa wenye mamlaka watangaze kuifunga Dar, kisha unatoa sababu zako za kwanini tuifunge Dar, na kama tukiifunga Dar, hatua hiyo itasaidiaje kupunguza maambukizi, na pia kushauri tukiifunga Dar, hakuna kutoka wala kuingia, pia ushauri wale wote wanaoendesha maisha yao wa kila siku kwa kutoka au kuingia Dar, wataendeshaje maisha yao?.
P
 
This is what is gonna happen within the next month

Paracetamol zitaadimika

Wagonjwa watalalamika

Serikari itasema kawaida huwa wanaoda kutokana na historical data za matumizi na SMD walikuwa na stock ya kutosha.

Lakini wanakubali kuna uhaba umesababishwa na gonjwa la Korona na wameshatoa order zipo njiani (kufika hadi kusambazwa kama mwezi)

A lot of people will suffer kwa muda huo na pengine kupoteza maisha kwa sababu ya uzembe na kukosa mipango.

I take wagers on that occurrence
Note: ni MS not SM!.
P
 
Huu sio wakati wa kutafuta mchawi tena, kama "mistake" ilishatokea, now lazima tusonge mbele, kupoteza muda mwingi kulaumu hakutasaidia chochote tena.

Tukicheza tutawapoteza mpaka wapendwa wetu, hakuna haja kufika huko, huu ni wakati wa kuwa wamoja kupambana na hili gonjwa, na sio kuendelea kumfikiria mtu mmoja, kumbuka yeye anaweza akabaki, wewe na wenzako mnaweza kuondoka msipochukua tahadhari.

Ukisema huipendi CCM, kumbuka kuna marafiki na jamaa zako wako huko huko CCM, na ukisema huipendi CHADEMA, pia kuna marafiki na jamaa zako wako huko usipopapenda.

Wote kwa pamoja tusingependa kuwapoteza marafiki na jamaa zetu, huu ni wakati wa kujilinda, kushauri, na kufarijiana, ili sote kwa pamoja tuvuke salama kipindi hiki.

Pole kwa wote walioondokewa na ndugu, marafiki, na jamaa zao kutokana na huu ugonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi kutafuta suluhu ya tatizo hili kwa kutumia akili zile zile zilizotufikisha hapa tena kwa makusudi,Jana nimeona tangazo moja TBC kabla ya habari ya saa mbili rais akihimiza watu kuwa wakati watu wengine kwenye mataifa mengine wamejifungia ndani sababu ya corona basi sisi tuchape
kazi sana
 
Tusaidie kwanza kujua tunamshauri nani hasa Kati ya waziri wa afya,waziri mkuu au rais? Maana mmoja kati ya hao alishatangaza kabisa kwamba ukimshauri ndo umepoteza,sasa ili tusipoteze muda wetu be specific,TUNA MSHAURI NANI?
Mfumo wa utawala wa nchi yetu ni mfumo wa Presidential, rais wetu ni Executive President, rais mtendaji, hivyo watu wengine wote, kila wanachofanya ni kwa niaba ya president. Hivyo ushauri wowote ni kwa president.
P
 
Huwezi kusaidia kwa kutangaza hivyo kwasababu wewe huna mamlaka hayo, bali unaweza kusaidia kwa kutoa ushauri kwa wenye mamlaka watangaze kuifunga Dar, kisha unatoa sababu zako za kwanini tuifunge Dar, na kama tukiifunga Dar, hatua hiyo itasaidiaje kupunguza maambukizi, na pia kushauri tukiifunga Dar, hakuna kutoka wala kuingia, pia ushauri wale wote wanaoendesha maisha yao wa kila siku kwa kutoka au kuingia Dar, wataendeshaje maisha yao?.
P
okay nipo tayari kutoa huo ushauri,je naulekeza kwa nani?
 
Wanabodi,

Kila nipatapo fursa, huwaletea mfululizo wa makala zangu elimishi za kuhamasisha uzalendo zinazoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa ziko kwa mtindo wa maswali. Makala ya leo sio ya swali bali ni wito.

Tanzania ni nchi yetu sote, na imetokea sisi Watanzania tuko wengi na tumetapakaa duniani kote. Kutokana na kutapakaa huku, Watanzania tofauti tofauti tuna uwezo tofauti na exposure tofauti kutokana na experiences tofauti tofauti ya huku tulipo, lakini bado tunawajibu wa kuelekeza uzalendo wetu kwa nchi yetu, Tanzania yetu au Mama Tanzania, hivyo kama kuna mwenzetu yeyot, mwenye uwezo wowote wa kusaidia, asaidie, ama kama yuko kwenye nchi yoyote, yenye mazingira sawa na yetu, wenzetu huko kuna kitu wamefanya kikasaidia, na kitu hicho sisi tunaweza kufanya kikasaidia, then saidia nchi yako kwa kushauri, what should we do, ili kuisaidia nchi yako.

As the Corona situation ya maambukizi ya local transmissions is escalating, nimenote huku kwenye mitandao ya kijamii, baadhi yetu tumeanza kunyoosheana vidole vya kulaumu, kuwa hatukufanya hiki au kile ndio maana maambukizi yamefikia kiwango hiki, kwa hapa tulipo, badala ya kulaumu, nini hakukufanyika, toa ushauri wa kusaidia, lets share the best practices za nini kifanyike sasa kusaidia hapa tulipo before its too late.

Tangu kuibuka kwa janga hili la Corona Mwezi December mwaka jana, kila nchi ilichukua hatua za kuzuia na kujiandaa kukabiliana nayo ki vyake vyake. Sisi Tanzania pia kupitia serikali yetu nasi tulichukua hatua kivyetu. Ziko nchi za jirani zetu wao waliamua kuchukua hatua zao kwa copy and paste ya nchi nyingine walichofanya ikiwemo hatua ya lockdown, Tanzania tukaamua hatuigi, hakuna lockdown na rais wetu Magufuli kutuondoa wasiwasi kwa kusema Tusitishane, na kutuhimiza Watanzania tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo ya kitaalamu na kusema haka ka Corona ni ka ugonjwa kadogo, ni kashetani, tuka mkabidhi Mungu, na kwenye Mungu akatenda. Tatizo la Corona wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100% - JamiiForums

Mwanzoni Mungu ametenda na mpaka sasa anaendelea kutenda, jana tumemaliza siku 3 za maombi ya kitaifa dhidi ya janga la Corona, hivyo tunamuomba Mungu huku tunajisaidia.

Kufuatia kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya Corona, huku kwenye mitandao ya kijamii, tunaanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuwa Corona inasambaa kwasababu hatukufanya abcd.

Hii ni mifano

Mkuu Nguruvi3 at this juncture, lets stand as one kusaidia. Je, Watanzania wenye uwezo wa kusaidia, jee tuisaidiaje serikali yetu ili ishindindwe?.

Kwa vile sasa ni April na umma haupukutiki bali unaambukizwa, na kwa vile umeishajua kuwa mwezi May umma utapukutuka, hivyo unashauri tujiandae kuona umma unavyopukutika!, kwanini usisaidie kuzuia umma wa Watanzania usipukutike?

Usaidizi huo, sio lazima uwe kama ule wa Rostam Aziz or Mo Dewji, bali hata kwa kuandika tuu humu jf na vyombo vyetu vya maamuzi watasoma na kufanya uamuzi wafuate au waache, ili itakapofika hiyo May, tutakapo anza kuona na kushuhudia jinsi watu wanavyopukutika, angalau tutasema, tuliona kabla, tukaonya, tukashauri, tukapuuzwa na sasa haya ndio matokeo.

Kwenye situation hii tuliofikia, swali langu hili
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums

Mkuu Retired, if you can help, just help out, kama una ushauri mzuri wa jinsi ya kusaidia, wewe toa tuu huo ushauri, sasa issue ya kama ushauri wako utapokelewa utakubaliwa au utafanyiwa kazi au laa, hili sio letu, hili ni la ngazi za maamuzi, whether ushauri wako utatekelezwa au utapuuzwa, hili sio lako, wewe utakuwa umetimiza wajibu wako na huu ndio uzalendo wako kwa nchi yako.

Hitimisho
Nimalizie kwa kutoa wito, janga la Corona ni janga letu sote sisi Watanzania, haijalishi uko wapi na unaishi nchi gani, as long as wewe ni Mtanzania, hata kama umejilipua, lakini kwenu ni Tanzania, una wajibu wa kuisaidia nchi yako kwenye nyakati kama hizi. Huu sio wakati wa kulaumiana na kunyoosheane vidole vya we didn't do this and that, huu ni wakati wa kusimama pamoja, kushikamana na kusaidiani, kama unaweza kusaidia kwa lolote, chochote, hali na mali au hata ushauri tuu to help out the situation, please just do!, usisubiri uombwe, msaada na yeyote. Jitokeze tuu saidia!. Vinginevyo...Nyamaza!

Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Sasa Pascal mbona unatuamrisha? Eti vinginevyo nyamaza, who gave you power authority?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Vinginevyo nyamaza"
Pasacal, hatuwezi wote kunyamaza, kukosoa nako ni kusaidia pia.
Bila kuangalia tulipojikwaa kukaa kimya hakutasaidia kitu.

Tulikosea pale tulipodhani kwamba corona ni kaugonjwa kadogo tu, ni upepo tu utapita, ni shetani tumkabidhi Mungu amshughulikie.
Sasa tumeona siyo kaugonjwa tena, siyo kacorona bali ni Li-corona, siyo upepo tu wa kawaida bali ni dhoruba. Kwamba bado ni shetani sina ubishi nalo, ila anaweza akawa shetani aliyeruhusiwa na Mungu atushughulikie.
Kumbuka habari ya Ayubu.

Mpaka.sasa hatujawa serious, tunachukulia poa tu. Maambukizi yanaongezeka na vifo vinaongezeka, halafu tukae kimya?
Sasa hivi watu wanakimbia Dar kwenda mikoani, viongozi wetu wanaona na hakuna hatua zinazochukuliwa kuzuia hawa watu, Nani anayejua hawa wanaokimbia Dar wako salama kiasi gani? Zaidi 80% ya maambukizi ya nchi nzima yapo Dar. Ni hatari sasa hivi kuendelea kuruhusu watu kuingia na kutoka Dar.

Mbunge aliyekutwa na virusi ya Corona alitoka Dom kuja Dar na akarudi na maambukizi Dom.
Tutaangamia kwa kukosa maarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal, Wewe ni culprit No 1, uliyekuwa unabeza COVID -19. Sasa utahukumiwa kwa yote uliyo yaaandika kubeza hii virus. Kuna watu humu ni virus SURVIVORS na effects zake, walionya, na wewe kwa ncha ya peni yako/keyboard na ubongo wake kwa makusudi kabisa ukawa unapotosha. Understand that, wewe ni "Journalist" uliyebobea kwa "standard ya Tanzania", na unao followers wengi sana. Kwa hiyo tu lazima ubebe mzigo wa yote uliyo yaandika, hata baada ya kuonywa.
Mkuu Interested Observer, hiki unachokisema, ndilo lengo haswa la bandiko hili, tusinyoosheane vidole, kwa kulaumiana na kushutumiana bali tusaidiane.

Mimi ni muumini wa karma, malipo ya karma yanalipwa kutokana na nia ovu na jambo ovu. Ukifanya jambo ovu kwa nia njema kama hilo jambo ovu litaisaidia jamii, then kupitia karma, unabarikiwa.

Na ukifanya jambo ovu, ukabaini ulifanya jambo ovu, baada ya kubaini umefanya jambo ovu ukabadilika na kuanza kufanya jambo jema, ukifanya mema mengi makubwa kuliko lile jambo ovu, karma ya mema itakuwa ni kubwa zaidi na itaifuta ile bad karma ya lile jambo ovu moja.

Tangu kuanza kwa janga la Corona, humu jf tuu hili ni bandiko la 15! Dedicated to janga la Corona. Kati ya mabandiko haya 15, ni mabandiko 3 tuu ndio yalisifu Cacorona na kupongeza kujimwambafy dhidi ya Corona, lakini mabandiko 12 ni ya kusaidia jamii, na sikuishia jf tuu, mimi nina co-host a 60 minutes weekly Live TV Program, kwa wiki ya 4 sasa the program is dedicated to Corona to help out Watanzania.

P
Rejea za Mandiko ya The Same Author Kuhusu Janga la Corona
  1. Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani? - JamiiForums
  2. Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa - JamiiForums
  3. Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums
  4. RC Makonda, Dar ni jiji la wote, vyama vyote. Mbowe sio mwanasiasa uchwara aliyefilisika, Zitto sio mshirikina. Tunakupenda, heshimu wote uheshimiwe - JamiiForums
  5. Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! - JamiiForums
  6. Star TV: Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, azungumzia wajibu wa vyombo vya habari kuripoti janga la Corona - JamiiForums
  7. Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani!. Je Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika - JamiiForums
  8. Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV - JamiiForums
  9. Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona - JamiiForums
  10. Mungu ni Omnipresent. Kufuatia Local Transmission ya Corona. Je, Sasa Tushinikize Watu Wasalie Majumbani Mwao, ila Sadaka Ndio Itumwe Kwa M-Pesa? - JamiiForums
  11. Nabii Malisa: Mungu ameniambia Corona ni April tu, May hakuna Corona na hakuna atakayekufa!. - JamiiForums
  12. Kwa Kasi Sasa, Jee Tuendelee Ushujaa wa Ka-Corona, Tusitishane, Tuchape Kazi Tukiteketea, Au Sasa Tubadili Msimamo Tusitisishe Mikusanyiko Tuokoke? - JamiiForums
  13. TBC - Mjadala wa Role of The Media kwenye mapambano ya Corona, Je, Media Inatimiza Wajibu Wake Ipasavyo? - JamiiForums
  14. Live on Star TV: Corona Kushika Kasi Ndio Habari Kubwa Tanzania, Jee Media ya Tanzania, Inatimiza Wajibu Wake Ipasavyo? - JamiiForums
  15. Corona: Tusinyoosheane vidole. Kama unaweza kusaidia, please do. Usisubiri uombwe - jitokeze saidia, vinginevyo nyamaza! - JamiiForums
 
Katiba inavunjwa waziwazi, uonevu kwa wapinzani, kauli ya mkulu kutofautina na vitendo vyake nk.
Inahusiana nini na UZI uliopo?

Kwaiyo katiba sijui uonevu ndio vitasababisha Corona isiwepo?

Jaribu kufikiria nje ya box kumbuka haina dini, kabila, tajiri, masikini wala itikadi ya chama. Chukua hatua Corona inaua.
 
Katiba inavunjwa waziwazi, uonevu kwa wapinzani, kauli ya mkulu kutofautina na vitendo vyake nk.
Inahusiana nini na UZI uliopo?

Kwaiyo katiba sijui uonevu ndio vitasababisha Corona isiwepo?

Jaribu kufikiria nje ya box kumbuka haina dini, kabila, tajiri, masikini wala itikadi ya chama. Chukua hatua Corona inaua.
 
Mfumo wa utawala wa nchi yetu ni mfumo wa Presidential, rais wetu ni Executive President, rais mtendaji, hivyo watu wengine wote, kila wanachofanya ni kwa niaba ya president. Hivyo ushauri wowote ni kwa president.
P
Kitu pekee usichojua ni kwamba huyo executive ndo mwenye kura ya veto na ndo ukimshauri umepoteza unless Kama mdomoni uwe unazungumzia kwenda moro from Dar while in reality wewe unachotaka ni kwenda different direction.Kwa style hiyo utampata
 
Sasa umesahau kwamba rais alisema ukimshauri ndio umeharibu? Au unataka tumshauri ili tuharibu zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Rais Magufuli hajakataa kushauriwa, alichokataa ni kushinikizwa!, kulazimishwa!.
Katiba yetu ya JMT anampa uhuru rais wetu kushauriwa na yoyote na hadi tumemuwekea wasaidizi wataalamu wa washauri na wanampa ushauri wa kitaalamu ila katika kufikia maamuzi, ni katiba hiyo hiyo imempa mamlaka ya kufikia maamuzi yeye kama yeye bila kufuata ushauri wa yeyote usipokuwa katika yale maeneo ambayo katiba inamlazimisha rais kufuata ushauri.
P
 
Back
Top Bottom