Corona Tanzania: Watu 27 waliokuwa wakifuatiliwa baada ya kuwa na ‘contact’ na mgonjwa wa kwanza wakutwa salama

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,745
4,277
Wizara ya Afya imesema kwamba majibu ya sampuli za watu 27 waliokuwa wanahisiwa kuwa na virusi vya #COVID19 yameonesha hawana maambukizi

Watu hao ni wale wote waliokutana na dereva taksi aliyemuendesha mgonjwa wa kwanza wa virusi hivyo nchini

Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Udhibiti na Ufuatiliaji wa Magonjwa ya Mlipuko, Dkt. Janet Mghamba amesema wamejiridhisha kwa kina kwani wamefanya vipimo mara 3 na vyote vimekuja salama
 
Back
Top Bottom