Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,189
- 1,324
Kichwa cha habari chajieleza.
Nimechoka kutembea kwa miguu mwenye gari tajwa hapo juu iwe katika hali nzuri na namba ianzie B hapo tunafanya biashari.
NB gari ikiwa dar au pwani itakua rahisi zaidi mimi kuja na fundi kuikagua na isiwe na cc zaidi ya 1600.
Ukiwa nayo njoo pm tupeane namba kwa mawasiliano