mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,254
- 9,168
Siku hizi ukivaa barakoa watu wanakushangaa kama uko uchi!
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Hatuwaoni kvp ina maana hawana ndugu,jirani,rafiki au wafanyakazi wenzao? ni wapi huko wanapokufa hadi tusiwaone na wanazikwa na nani? hili suala linashangaza sana! Sasa hata akifa Magufuli tofauti ipo wapi?Mkuu kwa sasa hao wanakufa hatuwaoni,Ila siku akifa yeye ndo tutaanza kuwaona,acha twende kwenye kampeni Kama tutakuwa tumefika huko lakini
Siku hizi ukivaa barakoa watu wanakushangaa kama uko uchi!
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Precaution mkuu, si kwa maana ya kutisha wala kusababisha taharuki!!Duh! Wejamaa kweli ni vacuous popinjay
Niambie unafaidika na nini tukiwa na wagonjwa wengi na vifo vingi?
Faida kwa wachimba makaburi (excavator)Duh! Wejamaa kweli ni vacuous popinjay
Niambie unafaidika na nini tukiwa na wagonjwa wengi na vifo vingi?
Mtu anaogopa kuambiwa tu "watu wanakufa" halafu mtu huyo huyo anaomba uamirijeshi mkuu wa majeshi yote!!Precaution mkuu, si kwa maana ya kutisha wala kusababisha taharuki!!
Duh! Wejamaa kweli ni vacuous popinjay
Niambie unafaidika na nini tukiwa na wagonjwa wengi na vifo vingi?
Corona ipo vyema kuchukua tahadhari wewe binafsi na familia yako.
Ukionaje unajilock down au unaacha kazi ili utulie ndani isikupate na usife ( Mbona simple tu)
Wapo ndugu zetu walotangulia tunamshukuru Mungu hata katika hayo na sisi sote tutakufa kwa wakati wetu
Tunashindwa kupambana na Korona sababu baadhi ya watu mnaleta taharuki na hofu ni mbaya siku zote lazima tuadhibiwe tu maaana ufahamu wetu unawategemea watu tena na si Mungu.
By the way Dunia tunapita shida iko wapi? Tutubu tutende mema hatujui kesho yetu, ukikaidi sawa lakini Dunia si mali yetu iwe kwa corona ama si kwa corona kwa lolote.
Mawazo duni kabisa ya aliyejikatia tamaa au kueleza wasiojitambua au walioko katika tamaa peke yake.
Kwanini hampendekezi mahospitali kufungwa? Kwanini kununua madawa au vfaa tiba? Kwanini kujihami na lolote?
Kama kufa si tutakufa tu?
Mawazo ya kijima namna hii bakini nayo Lumumba tu. Mawazo ya namna hii hayana nafasi katika jamii yoyote iliyostaarabika.
View attachment 1705981
Tafadhali mtambue tupo wengi ambao hatumo katika umburula huo uliopitiliza.
Duh! Wejamaa kweli ni vacuous popinjay
Niambie unafaidika na nini tukiwa na wagonjwa wengi na vifo vingi?
Faida ni kufuata kwa juhudi maelekezo yoote ya vita!
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ni lipumbavu tu! Majitu mengine sijui yakoje? Hili jamaa si ndilo lilikomalia kwamba kwenye shule zilizofunguliwa kuna vifo vingi vya Corona?
Corona ipo vyema kuchukua tahadhari wewe binafsi na familia yako.
Ukionaje unajilock down au unaacha kazi ili utulie ndani isikupate na usife ( Mbona simple tu)
Wapo ndugu zetu walotangulia tunamshukuru Mungu hata katika hayo na sisi sote tutakufa kwa wakati wetu
Tunashindwa kupambana na Korona sababu baadhi ya watu mnaleta taharuki na hofu ni mbaya siku zote lazima tuadhibiwe tu maaana ufahamu wetu unawategemea watu tena na si Mungu.
By the way Dunia tunapita shida iko wapi? Tutubu tutende mema hatujui kesho yetu, ukikaidi sawa lakini Dunia si mali yetu iwe kwa corona ama si kwa corona kwa lolote.
Ni lipumbavu tu! Majitu mengine sijui yakoje? Hili jamaa si ndilo lilikomalia kwamba kwenye shule zilizofunguliwa kuna vifo vingi vya Corona?
Na za malaria vipi?Katika ule mukthadha wa kukubali kutokubaliana, ikumbukwe kuwa iliombwa watu kuweka orodha ya wahanga wote wa hizi changamoto za kupumua, kila inapowezekana.
Kuondoa tashwishi hapa ninaweka tarehe tulizopoteza wanasheria nguli hadi kufikia 09.07.2020 idadi yao mbele katika mabano (kama sampuli). Hawa na tarehe zao ni kutoka katika orodha halisi:
1. 01.04. (1)
2. 02.04. (1)
3. 06.04. (1)
4. 27.04. (1)
5. 28.04. (3)
6. 30.04. (1)
7. 03.05. (2)
8. 04.05. (2)
9. 05.05. (1)
10. 16.05. (1)
11. 20.05. (1)
12. 30.05. (1)
13. 06.06. (2)
14. 09.07. (1)
Hii na ionekane kama wito wa kuamshwa.
Orodha hizi zinaendelea kuhuishwa kwa wahanga wote. Orodha kamili zikizingatia taarifa zote kwa kila mhanga.
Kwa hakika siku moja, jina moja moja litasomwa mbele zetu sote kila mmoja kwa mchango wake.