FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Chanjo zipo, mmeletewa, si mkachome watu wapige pesa za mikopo ya chanjo? Nani kawazuia?Kwani tukiamua kujitoa ufahamu kuwa hakuna ugonjwa wa corona Tanzania huku watu wakiwa wanakufa Kila siku ndo unapata faida gani?Siku huyu aliyeondoa ubongo wenu kwenye vichwa vyenu akifyekwa na corona labda akili zitawarudia