Kongole kwa BAKWATA: Msikiti wa mtoro jijini Dar wafungwa kisa COVID19

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
28,103
37,633
KONGOLE KWA BAKWATA: PA KUPONGEZA TUPONGEZE: MSIKITI WA MTORO JIJINI DSM WAFUNGWA KISA COVID KUMI NA TISA

Husika na somo tajwa hapo juu!

Sheikh wa Mkoa wa Dsm na Muft Mtarajiwa In sha Allah ametangaza kufungwa kwa MSIKITI MAARUFU NA MKUBWA kuliko yote katika Kata ya Kariakoo - Mtoro.

MTORO umefungwa kwa siku 14 kufuatia tishio la kusambaa Corona!

Hongera BAKWATA.
Hongera Sheikh Alhad Mussa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taratibu tutaelewana tu.
Walidhania Macca, Madina, Roma, India na Israeli kufunga nyumba zao za ibada ni wajinga.
Waongea kwa ujuaji ,
Uelewane nanani tena
Hiyo ni moja yataratibu,
Wakifanya mnasema wamechelewa
Wasipofanya mnasema hawajali...
 
Wengine walifunga zamani
Hili janga wanaliona kabisa ni la wote halafu wanashindwa hata kufuata maelekezo yaliyokiwepo miaka zaidi ya 1000 iliyopita
Dharau zao zinafanya watu wafe bila sababu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
KONGOLE KWA BAKWATA: PA KUPONGEZA TUPONGEZE: MSIKITI WA MTORO JIJINI DSM WAFUNGWA KISA COVID KUMI NA TISA

Husika na somo tajwa hapo juu!

Sheikh wa Mkoa wa Dsm na Muft Mtarajiwa In sha Allah ametangaza kufungwa kwa MSIKITI MAARUFU NA MKUBWA kuliko yote katika Kata ya Kariakoo - Mtoro.

MTORO umefungwa kwa siku 14 kufuatia tishio la kusambaa Corona!

Hongera BAKWATA.
Hongera Sheikh Alhad Mussa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alhad Mussa kumbe nayeye ni shekhe..!
 
Yule Muumini hajafia Masjid MTORO Kariakoo. Amefia Msikiti wa Ilala Bungoni. MTORO hakujaripotiwa kisa ila wamefunga kwa tahadhari
Wamechelewa sana
Walioondoka na maambukizi ni wengi kwani muumini mmoja kafia msikitini
Isipo wametumia busara sana kupunguza maambukizi ya mbeleni

Makanisa bado yanaendelea kupoteza sadaka eti!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waongea kwa ujuaji ,
Uelewane nanani tena
Hiyo ni moja yataratibu,
Wakifanya mnasema wamechelewa
Wasipofanya mnasema hawajali...
Je wangefanya kabla, yaani janga lilipoingia tu hao jamaa wangesemaje ?
 
Yule Muumini hajafia Masjid MTORO Kariakoo. Amefia Msikiti wa Ilala Bungoni. MTORO hakujaripotiwa kisa ila wamefunga kwa tahadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kuna mtu kafia kwenye Msikiti ?, huko vipi wanaendelea au nao wameamua kutumia busara...., na huyo yupo kwenye wale 16 au ni complications nyingine..., samahani kwa maswali mengi au kama hauna uhakika poa nitaelewa usije kuitwa mzushi.....
 
Ile Corona iliyotoka hapo jana itachukua mwaka mzima kuimaliza. Baada ya siku tatu tutakutana na matokeo chanya. Jana katika msikiti wa Mtoro alitoka mtu ana Corona akafika nyumba za NHC Ilala Boma akafariki dunia! Na huko msikitini alienda ili apate tiba ya Allah. Alipotoka hapo na waumini wenzake akafia Ilala boma NHC.

Wape salaam!
Ushahidi Tafadhali!
 
KONGOLE KWA BAKWATA: PA KUPONGEZA TUPONGEZE: MSIKITI WA MTORO JIJINI DSM WAFUNGWA KISA COVID KUMI NA TISA

Husika na somo tajwa hapo juu!

Sheikh wa Mkoa wa Dsm na Muft Mtarajiwa In sha Allah ametangaza kufungwa kwa MSIKITI MAARUFU NA MKUBWA kuliko yote katika Kata ya Kariakoo - Mtoro.

MTORO umefungwa kwa siku 14 kufuatia tishio la kusambaa Corona!

Hongera BAKWATA.
Hongera Sheikh Alhad Mussa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpongeze Goodluck Haule wa Twitter jana kasema sana na watu wakachangia sana!
 
Hongera ya nini? FaizaFoxy ataswali wapi?

Back
Top Bottom