Corona imekwisha, Makonda toa Bodaboda mjini

Akili finyu sana hii umeharibu muda wako kuandika upupu. Tembea miji ya wenzetu ujionee sheria zinazoendesha majiji.
Mkuu kwa uwezo wako mkubwa kwa sasa unafaa kuwa na helicopta kama tatu hivi. Moja ya kwako, nyingine ya mke wako na nyingine ya watoto. Yaani hizo pikipiki utaziona kwenye tv. Matajiri wenzako katika miji ya wenzetu wanazo helicopta zao. Ni vizuri na wewe ili kuepusha usumbufu wa bodaboda ni bora uwe na helicopta zako za kutosha zikupeleke kazini. Naamini hata humu JF kuna watu wanaweza kukusaidia kupata helicopta. Kwa pesa yako wala haupaswi kusubiria sheria wala tamko la serikali. Naamini helicopta ni kitu kidogo mno kwako ambacho ukiamua kwa dakika chache unatekeleza. Hayo ni maoni yangu mkuu.

NB: Kama kuna mtu anauza helicopta au anajua zinapouzwa angechangamkia fursa kwa Rufiji dam. Nendeni kwenye PM yake na ofa za helicopta zenu kadri mnavyoweza. Changamkieni fursa hii maana ni bahati kubwa kwa JF na taifa zima kwa ujumla. Pia kama kuna mtu yeyote ambaye mnajua anahusika kuuza helicopta mgemtag ili amsaidie Rufiji dam ajipatie usafiri na kuepuka usumbufu wa bodaboda.
 
Sasa hivi hakuna tofauti ya Manzese, Mbagala na Posta hii ya Mnara wa Askari. Jiji ama mji ni mchafu vibanda vya wauza ndizi choma na mishikaki.

Sasa hivi ni vijiwe vya Bodaboda kila sehemu posta. Corona imekwisha sasa Makonda atoe tamko la kutoa hawa Wahuni katikati ya jiji.
NANI KAKUAMBIA IMEISHA? NAKUSHAURI ENDELEA KUVAA BARAKOA NA NAWA MARA KWA MARA NA MAJI TIRIRIKA na sabuni MPAKA HAPO SERIKALI ITAKAPOTOA MAELEKEZO MENGINE JUU YA KORONA NDUGU YANGU. HASA SEHEMU YA MIKUSANYIKO KAMA WIZARA YA AFYA INAVYOELKEZAB
 
Sasa hivi hakuna tofauti ya Manzese, Mbagala na Posta hii ya Mnara wa Askari. Jiji ama mji ni mchafu vibanda vya wauza ndizi choma na mishikaki.

Sasa hivi ni vijiwe vya Bodaboda kila sehemu posta. Corona imekwisha sasa Makonda atoe tamko la kutoa hawa Wahuni katikati ya jiji.
Subiri basi uchaguzi upite mbona una haraka hivyo ndugu yetu au ujui hao ndio wapiga kura...
 
Sasa hivi hakuna tofauti ya Manzese, Mbagala na Posta hii ya Mnara wa Askari. Jiji ama mji ni mchafu vibanda vya wauza ndizi choma na mishikaki.

Sasa hivi ni vijiwe vya Bodaboda kila sehemu posta. Corona imekwisha sasa Makonda atoe tamko la kutoa hawa Wahuni katikati ya jiji.
Naaza kuchemsha chai chini ya flyover ntatundika bendera ya ccm hakuna
 
Wa Tanzania baadhi wana roho mbaya sana.. sababu wao wana ajira wanapata hela kwenye kiyoyozi wanaona ambao wanapata hela juani wanachafua mazingira..

Hii nchi ni yetu sote.. waache mama ntilie na boda boda nao wafanye kazi zao mjini..
Umeongea point
 
Mwambieni na kwenye daladala hili zoezi la level seat litaua kama sio konda basi walimu kila siku nashuhudia migogoro ya hawa watu gari ipo level seat ina waalimu wa 5 na wanajeshi 8 jumla mawe 13 wanalalamika mboss hawajawapa xulbus wanataka hesabu cash ni changamoto
 
watu wanatafuta riziki zao na wengi wao wana familia unawaita wahuni? sitting your ass on your shemejis house typing on shemejis laptop and spit out this nonsense.. mpumbavu mmoja wewe.
 
CCM wakiwaondoa CHADEMA wanawaambia wakishika dola watawaruhusu kufanya chochote.
 
Back
Top Bottom