Dar: BodaBoda na Bajaj Ruksa kuingia Mjini-Paul Makonda

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka waendesha pikipiki (boda boda) kuendelea kusafirisha abiria katika ya mji kama ilivyo kawaida.

Alizungumza leo jijini Dar es salaam Makonda amesema hakuna polisi yoyote kumkamata mwendesha pikipiki akiiingia katikati ya mji. “Bodaboda na bajaji sasa hivi mnaruhusiwa kuingia katikati ya mji kufanya shughuli zenu hakuna kukamatwa, kuna mpuuzi mmoja anapita pita kuwakamata wenye boda boda huko mjini kuna mkuu wa mkoa mmoja ndo mimi na nipo endeleeni kufanya shughuli zenu” amesema Makonda.

Ikumbukwe kuwa waendesha pikipiki (bodaboda)walizuiliwa kuingia mjini kutokana na kupunguza msongamano katikati ya mji.
 
Paul Makonda Bajaj na bodaboda ulizikataza kuingia Mjini ili kupunguza matukio ya uhalifu yaliyokuwa yakifanywa na madereva wa bodaboda na Bajaj wasio waaminifu.
Naomba unithibitishie kuwa madereva waliokuwa wakipora Sasa wote wameokoka, wananena kwa lugha na wanakemea mapepo🙏🙏
 
Hayaaa kumekucha sasa, ni mwendo wa kujitekenya na kucheka wenyewe tu.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka waendesha pikipiki (boda boda) kuendelea kusafirisha abiria katika ya mji kama ilivyo kawaida.

Alizungumza leo jijini Dar es salaam Makonda amesema hakuna polisi yoyote kumkamata mwendesha pikipiki akiiingia katikati ya mji. “Bodaboda na bajaji sasa hivi mnaruhusiwa kuingia katikati ya mji kufanya shughuli zenu hakuna kukamatwa, kuna mpuuzi mmoja anapita pita kuwakamata wenye boda boda huko mjini kuna mkuu wa mkoa mmoja ndo mimi na nipo endeleeni kufanya shughuli zenu” amesema Makonda.

Ikumbukwe kuwa waendesha pikipiki (bodaboda)walizuiliwa kuingia mjini kutokana na kupunguza msongamano katikati ya mji.
Kuishi kwa hisani, mtu ajisikie kukataa au kuruhusu.
Kesho atajisikia tena kesho anawakataza
 
Hahaaa bongo politiki ni hatari sana yani Jana nimeona MTU anapika chai kwa jiko LA mkaa pale kwenye mataa ya msimbazi kariakooo nilichoka sana aiseee sikuamini
 
Kwa misingi gani?walalamishi nchi hii mnatamalaki kila Kona yani unanung'una bila sababu, sasa hapo huwoni kuwa mizunguko itakuwa kwa uharaka bila usumbufu
Naunga mkono hoja,wamachinga awamu hii tunaenjoy sana.

Niko mtaa wa kongo hapa nauza chupi za kina dada karibu uniungishe.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka waendesha pikipiki (boda boda) kuendelea kusafirisha abiria katika ya mji kama ilivyo kawaida.

Alizungumza leo jijini Dar es salaam Makonda amesema hakuna polisi yoyote kumkamata mwendesha pikipiki akiiingia katikati ya mji. “Bodaboda na bajaji sasa hivi mnaruhusiwa kuingia katikati ya mji kufanya shughuli zenu hakuna kukamatwa, kuna mpuuzi mmoja anapita pita kuwakamata wenye boda boda huko mjini kuna mkuu wa mkoa mmoja ndo mimi na nipo endeleeni kufanya shughuli zenu” amesema Makonda.

Ikumbukwe kuwa waendesha pikipiki (bodaboda)walizuiliwa kuingia mjini kutokana na kupunguza msongamano katikati ya mji.

Ni jambo jema!
 
Back
Top Bottom