Corona ikiisha utafanya nini?

Corona ikiisha utafanya nini?

Aahahahahahahaa

Polee, baridi imezidi kuwa kali???

Ntachofanya ni kushika mimba ya mapacha 4, mimba ikigoma kushika naenda adopt vitoto 4 vichangaa wawe warithi wangu.

Karantini hii imenipa upako wa kulea... Nimejikuta nawaonea wivu waliokuwa wanaenda maternity leave...
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...DAAH IKIISHA NA MTOTO MZURI JACKLINE ATARUDI SHULE 😥😭 HAKIKA NITAKUWA TEJA LA MAPENZI
 
Back
Top Bottom