Basi msikilize Raisi wakoSina mwenyekiti Mimi naishi kwa fikra huru kabisa, natumia upeo wangu kuchanganua mambo sio kupelekwa kwa fikra za mwenyekiti kila jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hizo posti ndio uchangie sio kuja na posti za taharuki
Umeshindwa kuja na hoja za kujibu hahaha ukweli huwa unauma
Mtaani kwetu wawili,mmoja mtu wangu wa karibu sana.rafiki wa mshikaji wangu nae katutoka jumatano.By the way unanitakaje nichukue tahadhari kihivyo wakati ugonjwa huu hauui? Ni sawa na mafua tu ya kawaida?Are you out of sense?Mpaka sasa wameshazikwa wangapi?
Chukua tahadhari acha kutisha watu wewe sio jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mwehu?Mtaani kwetu wawili,mmoja mtu wangu wa karibu sana.rafiki wa mshikaji wangu nae katutoka jumatano.By the way unanitakaje nichukue tahadhari kihivyo wakati ugonjwa huu hauui? Ni sawa na mafua tu ya kawaida?Are you out of sense?
Hii ni hatari sana kwa Watanzania duh
Watanzania wanaotuhumiwa wana Corona
Tanzania kila kitu tunafanyiwa hujuma, hata umasikini huu uliokithiri ni hujumaInaonekana kuna hujuma Fulani tunafanyiwa na majirani zetu, maana hao madereva wanarudi na wanaendelea na Maisha yao bila kupata tabu ya kiafya.
Mkuu naamini memory yako ni ndogo sana na Wala hujui unachoandika,bye siku njemaWewe ni mwehu?
Unasema umezka wawili mitaani kwenu kwa ugonjwa huu kisha unasema hauui!
Subiri ujizike
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wakenya 600+ waliopimwa wakakutwa na Corona walijitambulisha kuwa ni watanzania.Wametengenezwa hao. Ukitaka kipimo cha mkenya kibaini corona wewe taja kwamba ni mtanzania.
Na wewe leta chanzo cha taarifs yako kuwa madereva wakirudi wanaendelea na maisha kama kawaida.Tupe chanzo cha taarifa yako
Tunaonewa wivu kwa kuongozwa na rais ambaye anatarajiwa kuwa mwanadamu wa kwanza kuteuliwa na Mungu kuongoza MalaikaTanzania kila kitu tunafanyiwa hujuma, hata umasikini huu uliokithiri ni hujuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa kabisaMkuu naamini memory yako ni ndogo sana na Wala hujui unachoandika,bye siku njema
Halafu we fala mbona unapenda kutajiwa majina ..... nakuombea hiii dhahama ikuputie ili ujue uchungu wakeTaja jina la dereva mmoja tu aliyekufa na CORONA na kampuni aliyokuwa akifanyia twende ofisi ya viongozi wa umoja wa madereva wa malori yanayoenda nje ya nchi tukahakiki taja dereva mmoja tu na kampuni anayofanyia na gari namba alilokuwa akiendesha na route aliyokuwa akienda
twende kurasini tu ka confirm
halafu wewe una tabia ya uongo na uzushi sana wewe na kujifanya ohh mimi mdau sekta ya usafiri wakati liongo likubwa tapeli tu la mjini
Jibu: Great Panic (not Pandemic) watu tumefiwa, tutafiwa na ipo siku tutakufa pia. Endelea kujifariji na rumors.Sababu ujaugua au ujafiwa au ujauguza sababu ujaenda hospital mda mrefu.
Kama shule zimefungwa, Kama nahodha kakimbia,ndege haziji hapo unataka upate jibu gani
Kumbe matapeli mnajuana?Taja jina la dereva mmoja tu aliyekufa na CORONA na kampuni aliyokuwa akifanyia twende ofisi ya viongozi wa umoja wa madereva wa malori yanayoenda nje ya nchi tukahakiki taja dereva mmoja tu na kampuni anayofanyia na gari namba alilokuwa akiendesha na route aliyokuwa akienda
twende kurasini tu ka confirm
halafu wewe una tabia ya uongo na uzushi sana wewe na kujifanya ohh mimi mdau sekta ya usafiri wakati liongo likubwa tapeli tu la mjini
Hata Wizara husika haijataja majina ya wale 16 walifariki kwa corina,Halafu we fala mbona unapenda kutajiwa majina ..... nakuombea hiii dhahama ikuputie ili ujue uchungu wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Zidumu fikra za mwenyekiti hazihojiwiWatoto wamerithi ujuaji wa baba yao utapata tabu Sana kuwaelewesha"Fyatueni watoto elimu ni bure"
Watanzania wanaotuhumiwa wana Corona
Wazushi SanaTaja jina la dereva mmoja tu aliyekufa na CORONA na kampuni aliyokuwa akifanyia twende ofisi ya viongozi wa umoja wa madereva wa malori yanayoenda nje ya nchi tukahakiki taja dereva mmoja tu na kampuni anayofanyia na gari namba alilokuwa akiendesha na route aliyokuwa akienda
twende kurasini tu ka confirm
halafu wewe una tabia ya uongo na uzushi sana wewe na kujifanya ohh mimi mdau sekta ya usafiri wakati liongo likubwa tapeli tu la mjini