Corona... Corona... Corona kumbe wala....

Basi tupeni uwanja sawa wa kufanya siasa acheni kutukandamiza
Sasa hamuoni nchi zingine zinavyoingia kwenye armed conflict kama mzaha msijione ninyi msituharibie nchi
Anzeni kwa kuimarisha demokrasia ndani ya vyama vyenu kwanza kuhakikisha kuna uwanja sawa ili.msiwe na armed conflict within na kusababisha madiwani na wabunge kutimka !!!

Ndan ya Siku 14 tu tayari MNA conflict na wabunge wanne!!!! Na KUB mbowe kaondolewa Mngejilock down mwezi?
 
Anzeni kwa kuimarisha demokrasia ndani ya vyama vyenu kwanza
Ninyi wakati mnampa yule mzee sumu sisi hatukuingilia ninyi demokrasia yetu inawahusu nini acheni kutukandamiza kufunga mikutano ya siasa ni uoga wa kuiogopa Chadema

Wabunge hata mkiwanunua wahamie Nccr shauri yao Bunge lwnyewe linaenda kuvunjwa kwahiyo watakuja wabunge wapya zaodi ya hao tena vijana wa kike na kiume msije kuingiza majeshi mitaani tu
 
Aisee wacha kupotosha madereva wamefia njiani ni wengi waliokufa kwa kubanwa na pumzi
Chanzo basi kidogo ili watu tusibaki kuamini kuwa hizi ni taarifa za mitandaoni,mnapoona jambo kama hili wahabarisheni watanzania wenzunu,viko vyombo vya habari penyezeni hizi habari,wapo waandishi wa habari wapenyezeeni hizi,wataenda kuchimbua huko,siyo wote watakaa kimya,kisha baada ya kutoa hizo habari ndo mje huku.
Kama kweli mnalipenda taifa lenu hamtoficha kitu,lakini kuja na kuishia kuandika tu huku kuwa wata wanakufa bado hamtoaminika kwa sababu kuna watu hata kushuhudia hawajawahi kushuhudia hata kusikia tu watu wanakufa hawajawahi kusikia.
UOGA,HUFUTA UKWELI.
 
Corona IPO endelea kuchukua tahadhari sio kwamba wote wanao ugua corona lazima wawe amhututi au wafe hapana. Tawimu zinaonyesha katika watu 100 wanaopata corona wanaokadiriwa kupoteza maisha ni watano kushuka chini hivyo basi endelea kuchukua tahadhari na ukiwa na magonjwa nyemelezi upo kwenye hatari kubwa ya kuathirika zaidi na corona au kupoteza maisha.
Kama kinga zako za mwili zipo vizuri basi unaweza ukawana unatembea na corona na ukawa carrier Wa corona ndio mana tunashauriwa tuwalinde ndugu zetu ambao tunahisi wanamagonjwa nyemelezi au ambao ni wazee zaidi kwan wengi wao kinga zinakua zimepungua .

Hivyo basi endelea kuchukua tahadhari corona IPO na inaua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zaidi ya 50% ya wanao ambukizwa hawaoneshi dalili, jinsi tulivyo handle Corona lazima kiwango cha maambukizi kiwe juu. La muhimu zaidi ni kuwa kuambukizwa au kufa kwa corona si jambo la aibu.
 
Basi tupeni uwanja sawa wa kufanya siasa acheni kutukandamiza
Sasa hamuoni nchi zingine zinavyoingia kwenye armed conflict kama mzaha msituharibie nchi
nyinyi hatutawaruhusu muiingize nchi huko,ndio maana wale vichaa wanaojificha kwenye harakati mavi,wanatulizwa haraka.

kwahiyo shaka ondoa.
 
Sababu ujaugua au ujafiwa au ujauguza sababu ujaenda hospital mda mrefu.
Kama shule zimefungwa, Kama nahodha kakimbia,ndege haziji hapo unataka upate jibu gani
Watoto wamerithi ujuaji wa baba yao utapata tabu Sana kuwaelewesha"Fyatueni watoto elimu ni bure"
 


Acha ujinga na ukishindwa isipokuwa na mashiko,tunapuputika tutafute njia sahihi za kupambana na hili janga tukiweka siasa tutazidi kuumia
 
wanaosema corona haina dawa mimi nawashangaa..
Tukiendelea kuwasikiliza WHO kweli corona haitakuwa na dawa.
Ila tukirudi kwenye miti shamba corona ina dawa.
Inaonekana kuna hujuma Fulani tunafanyiwa na majirani zetu, maana hao madereva wanarudi na wanaendelea na Maisha yao bila kupata tabu ya kiafya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi wewe mwenzetu umeshaugua hiyo Corona?!....
Nilipata maambukizi kama mwezi umepita sasa!
Sio experience nzuri hasa pale unabonwa mbavu na kifua na kuanza kupumua kwa shida. Inatesa sana. Corona ipo chukua tahadhari
 
Kaka ebu jaribu kuchati tu na majirani zako. Pengine utapata ujumbe fulani kutokana na wimbo wa Roma Mkatoliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Kwa undani soma kitabu cha Ujasusi wa kidola na Uchumi.
 
Mkuu Kati ya watu 100 wanaopata corona,85 wanauwezekana wa kupona wenyewe bila kwenda hospitalini Wala kulala kitandani,15 lazima walale kitandani na kupata matibabu.5 Kati ya hao 15 wana asilimia kibwa sana ya kupoteza maisha.Kwa hiyo Kama ulidhani au uliambiwa na CCM kwamba kila anayepata corona lazima alazwe hospital au afe ulidanganywa sana.Kwa hatua zinazochukuliwa na serikali yetu nakuhakishia kuwa wale watanzania wote wenye kinga dhaifu watazikwa na hata wewe kinga yako ya mwili ikiteteleka hata kidogo umezikwa.Magu kujichimbia usidhani ni mjinga bali anaijua afya yake
 
Nilipata maambukizi kama mwezi umepita sasa!
Sio experience nzuri hasa pale unabonwa mbavu na kifua na kuanza kupumua kwa shida. Inatesa sana. Corona ipo chukua tahadhari
Pole ndugu...Corona inaweza kumpata yeyote yule...Corona ipo TZ...lakini Kuna propaganda nyingi kuhusu ukubwa wa tatizo na maambukizi yake...
 
Inaonekana kuna hujuma Fulani tunafanyiwa na majirani zetu, maana hao madereva wanarudi na wanaendelea na Maisha yao bila kupata tabu ya kiafya.
Mkuu acha mihemko uchwara,tafuta kujielimisha zaidi kuhusu corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…