Vioo vinavyofika 200,000 kupanda juu ni vile full hd au QHD. Vioo vya HD ndio vinakuwa around laki 1 mwisho laki 2 na vioo kama chako cha 480p hicho ni around laki 1 au chini ya hapo kikiwa complete.
Hata kama huyo mtu angekuwa anakubadilishia full still kwa 250,000 anakudhulumu, kwa bei hio unapata nokia x2 ambayo ni nzuri zaidi ya xl na hela inabaki
Pitia maduka ya display waambie unataka touch/digitizer tupu kwa ajili ya nokia xl then ukishanunua nenda kwa fundi aibadili