englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
hahaha kanikumbusha shule!!
Ha ha ha siri yangu!!ndio ulikuwa wajibu kama huyo bwana mdogo?
Ha ha ha siri yangu!!
ha ha ha ni wewe nini mimi nilikuwa jinias....Ulikua una copy hadi jina lol
Ha ha we si ndo ulikuwa ukinirushia tumba za ubuyu nikupe signal ya A,B au C kwenye multiple choice!mimi49 alikuwa haachi kitu katika kukopi heheh...
Nakumbuka sana alivyokuwa akinigezea wakati huo twasoma Bombo Primary...
Ha ha we si ndo ulikuwa ukinirushia tumba za ubuyu nikupe signal ya A,B au C kwenye multiple choice!
A>>>>ilikuwa pua naishika
B>>>>mashavu
C>>>>mdomo niufungue!Umesahau ehhh zile codes?
hahahaaa....!!! alishindwa kuandika nne ikabidi achole vidole vinne. kapatia. mia
mimi49 alikuwa haachi kitu katika kukopi heheh...
Nakumbuka sana alivyokuwa akinigezea wakati huo twasoma Bombo Primary...