Copy and Paste ya Muziki Wa Diamond hii hapa

mtoa mada rudi shule...au una mimba...kichwa chako cheupe sana...hata logic huna...you are too naive...unaishi kune chungu nini...
 
Acheni roho mbaya hakuna jipya siku hizi Diamond yupo juu tu kwani ukicopy kwa nia njema nini shida yeye kajaribu, wa TZ ndiyo kazi yenu kuponda sijui mmerogwa na nani
 
LLP Feat MIKE DIAMONDIZ - Muziki: FIRE"

Diamond platnumz feat Tiwa Tiwa Savage - Muziki: FIRE.

Hitimisho: Diamond kakopi na kupaste Nina LA muziki kutoka kwa msanii mwingine.

Swali: wasanii Wa kibongo ni lini mtaacha tabia ya kukopi na kupaste na muanze kuumiza vichwa vyenu katika kutunga au kubuni kazi zenu?
Chanzo: you - Tube
ww jamaa unatokea wapi sasa tittle ndo kukopy mbona wasanii kibao wana nyimbo zinafanana tittle
Usher Raymond _ Numb
Rihanna ft Eminem_Numb
Adele_I miss you
Beyonce_I miss you
Adele_Hello
J Cole_Hello
Sam smith_Lay me down
Adele_Lay me down
BOB_Chandelier
Sia_Chandelier
Jay Say_Close to you
Rihanna_Close to you
Dj Khaled ft Drake_For free
Kendrick lamar_For free

n zipo nyingi sana
 
Back
Top Bottom