COPA DEL REY FINAL; R.Madrid Vs A.Madrid, Live from Estadio Santiago Bernabeu.

COPA DEL REY FINAL; R.Madrid Vs A.Madrid, Live from Estadio Santiago Bernabeu.

ni wakati wa kumuingiza Di Maria au Kaka.Ozil atoke

Makocha wote nadhan wanahisi match itaenda extra time ndio maana hakuna aliyefanya sub.
Ozil, Khedira na Benzema inabidi wawapishe Di Maria, Kaka na Higuain
 
extra time naona atakaye fanya mistake imekula kwake,atm wakianza kma walvyomalza itakuwa nzuri kwao,ili kuwabana madrid ikiwzkana had penalt
 
Dk.90 zimeisha bila mshindi kupatikana, match inaenda kwenye extra time dk.30
 
RMD wamefanya sub, Modric, Benzema na Coentrao nje, wameingia Di Maria, Higuain na Albeloa
 
Inabidi FIFA ipanue ukubwa wa goal posts🙂
 
Diego Costa anakosa a golden opportunity ya kuwaweka ATM mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom