Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
Fainali ya kombe la Mfalme huko Hispania inapigwa leo kwenye majira ya 22:30(EAT) kati ya mahasimu wawili kutoka jiji la Madrid, R.Madrid Vs A.Madrid.
Match ya leo imetawaliwa na tetesi za kutokua na utulivu kwenye camp ya Real Madrid na habari za kocha wao Jose Mourinho kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Juzi wachezaji wa R.Madrid waliandaa dinner ambayo hawakumualika mtu yoyote wa kwenye bench la ufundi. Kuna tetesi pia wachezaji wamegawanyika kutokana na kutoelewana kwa Mou na Iker.
Hiyo imekua advantage kwa A.Madrid ambao leo wataingia uwanjani kama under dogs, hawana pressure ya ushindi kama wapinzani wao ambao baada ya kukosa la desma wanatafuta faraja kwa kubeba hichi kikombe kisochokua na umaarufu sana.