COPA DEL REY FINAL; R.Madrid Vs A.Madrid, Live from Estadio Santiago Bernabeu.

COPA DEL REY FINAL; R.Madrid Vs A.Madrid, Live from Estadio Santiago Bernabeu.

Mourinho anafanya makusudi baada ya kusikia CHELSEA hawana hela ya uhamisho,hvyo anataka afukuzwe na kutua darajani bure
 
Fainali ya kombe la Mfalme huko Hispania inapigwa leo kwenye majira ya 22:30(EAT) kati ya mahasimu wawili kutoka jiji la Madrid, R.Madrid Vs A.Madrid.

Match ya leo imetawaliwa na tetesi za kutokua na utulivu kwenye camp ya Real Madrid na habari za kocha wao Jose Mourinho kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Juzi wachezaji wa R.Madrid waliandaa dinner ambayo hawakumualika mtu yoyote wa kwenye bench la ufundi. Kuna tetesi pia wachezaji wamegawanyika kutokana na kutoelewana kwa Mou na Iker.

Hiyo imekua advantage kwa A.Madrid ambao leo wataingia uwanjani kama under dogs, hawana pressure ya ushindi kama wapinzani wao ambao baada ya kukosa la desma wanatafuta faraja kwa kubeba hichi kikombe kisochokua na umaarufu sana.
Self defence tuu hiyo mkuu.
 
Sasa mbona hujaendelea mkuu, maana ghafla umekuwa mtangazaji mahiri ila mechi hujaimaliza ati!
 
Self defence tuu hiyo mkuu.

Why would I need it? ATM walikua wateja wa RMD kwa miaka 14 afterall!
lakini hali ya kambi ya RMD ni tete na mimi nikadokeza kidogo tu kuhusiana na hilo, I didn't expect a win though na Mkuu Obwato alikua analijua hili toka juzi, anyway hongera na La Liga!
 
sipati Picha Jesus Gill angekuwepo...dah
Wamevunja rekodi jana Atletico Madrid miaka 14 mechi 25 hawajashinda vs Real Madrid na ushindi wao wa kwanza karne hii Estadio Santiago Bernebeu Yeste toka waliposhinda 3-1 mwaka 1999
 
Last edited by a moderator:
Real Madrid si lolote wala chochote msimu huu. Wataishia kunawa tu!
 
Mkuu umenishangaza kwa kuishia 1-1 au umeme ulikatika ghafla, anyway pole mzee jipange upya maana goli mbili, kadi nyekundu mbili tena wote Wareno haya ni MAJANGA.

Sio kweli, hujasoma uzi wote Mkuu au unayako like I said before!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom