COPA DEL REY FINAL; R.Madrid Vs A.Madrid, Live from Estadio Santiago Bernabeu.

Atletico wanaonana vizuri sana na wanaonekana wamepania kufuta uteja leo.

Anything can happen today, Albiol kashindwa kabisa kumdhibiti Falcao, on other side of the pitch beki ya ATM haimpi Ronaldo nafasi, kila akitaka kudrible anakaa chini
 
Ozil anapiga mwamba wa chini, Madrid kidogo wameamka baada ya kufungwa
 
ma fans wa a.madrid wanaonekana wana ham sana na hili kombe

Kina Obwato? Sijui wako wapi hata, wanaweza wakalikosa vilevile na nadhani kwa Mourinho yatakua matokeo mazuri yatakayo msaidia kuondoka free hapo
 
fans wa mdrid naona mawazo yao yte yalkuwa uefa,bt wakilkosa na hli, josee kweli ataondka may be kwa kigezo cha hafai tena madrid
 
Ile shughuli aliyofanya Falcao pale katikati wakati anatengeneza goli mh!hatari tupu!
 
Di Maria inabidi aingie 2nd half na Khedira apumzike coz haonekani kama amepona mazima!
 
Ile shughuli aliyofanya Falcao pale katikati wakati anatengeneza goli mh!hatari tupu!

Balaaa Mkuu, huyu ndio striker kina Moggi watuletee sio kina Diamanti ingawa angekutana na Pepe pale angechezea mitama ya kutosha
 
Kipindi cha pili kimeanza, no changes from both sides!
 
Hii ni match ngumu sana kwa RMD, wasipokua makini wanapigwa leo, mchezaji wao anaoonesha uhai ni Modric tu
 
wakuu hii ni Copa del rey au Coppa Italia?inabidi uwe umekula ugali wa sembe isiyokobolewa kucheza mechi hii manake duh!jamaa wameweka soka yao kando leo wameazima soka ya Italia,Germany na EPL!
 
aisee!!!!!! Hii kosa ya madrid ikitokea kesho taifa,watadai golini kuna hirizi!!!!
 
Balaaa Mkuu, huyu ndio striker kina Moggi watuletee sio kina Diamanti ingawa angekutana na Pepe pale angechezea mitama ya kutosha

kwi kwii!hivi Juve bado wanamtumia Moggi kinyemela eeh?shughuli imemshinda Marotta..duh..Felipe kawakosakosa!ila ATM wawe makini na set pieces...aah... ATM wana mungu leo khaa!wamekoswa balaa naona Madrid wameamka!
 
wakuu hii ni Copa del rey au Coppa Italia?inabidi uwe umekula ugali wa sembe isiyokobolewa kucheza mechi hii manake duh!jamaa wameweka soka yao kando leo wameazima soka ya Italia,Germany na EPL!

Kawaida ya Madrid derby Mkuu, ndio maana refa leo yuko makini kwenye kutoa kadi or else hii match ni kawaida sana kumalizika na wachezaji nusu.

Atletico ndio wanacheza sana ubabe
 
kwi kwii!hivi Juve bado wanamtumia Moggi kinyemela eeh?shughuli imemshinda Marotta..duh..Felipe kawakosakosa!ila ATM wawe makini na set pieces...aah... ATM wana mungu leo khaa!wamekoswa balaa naona Madrid wameamka!

Hii kosakosa huwa inaashiria kitu kimoja tu, bahati haipo na nyinyi, ikiendelea hivi jamaa wasahau kikombe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom