Coordinator wa SCOAN Tanzania

mmh, kama anafanya hayo huyo hamjui mungu anahitaji deliverence kwanza, tb joshua hafundishi hivyo, nasema usipende kusujudiwa bali mungu ndo wa kusujudiwa, na hayo ayafanyayo sio kwa uwezo wake bali uwezo wa mungu

Well said dada!
Ila kuna watu wanaona kwamba vile kuwa kudai afanye kazi yake inavyotakiwa tunadai kusujudiwa!
 


Hata mcungaji Msingwa ameliweka wazi kabisa swala hili!
Ni kazi yao kuombea wazinzi na wanaofumaniwa na wake za watu!
 

Nadhani Martha atapata mafunzo hayo katika safari yake ya next week.
Nasikia amepata na u coordinator wa Kenya.
Asipobadilika, akaendelea na nyodo na dharau, wakenya watamdunda.
 

Praise the lord!

Tunaomba picha yake
 


Ndio jambo la ajabu, kila mtu anamshangaa.
lengo ni kutekebisha na kupunguza usumbufu kwa watu.
Tukumbuke kwamba hadi mtu afikirie kwenye Nigerai anakuwa amepigika sana, ana matatizo, amezunguka sana.
Sio haki kuendelea kumpa mateso!
 
Duh! bado hii thread ipo hot? kweli watanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa we have everything here tena bure kabisa lakini tunaacha na kuhangaika kwa gharama kubwa utadhani hiyo biblia ipo nigeria tu
 
Duh! bado hii thread ipo hot? kweli watanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa we have everything here tena bure kabisa lakini tunaacha na kuhangaika kwa gharama kubwa utadhani hiyo biblia ipo nigeria tu


What is that everything? mfarisayo.

Unadhani hadi watu wanakwenda Nigeria hawajajaribu local available solution?
By the way, kila mtu ana imani yake, na anaweza kufanya analotaka.
Heshimu maamuzi yao!
 
Ni kweli unaweza kuomba ONLINE kwenda SCOAN lakini uzoefu umeonyesha kwamba ni watu wachache ambao wameshaitwa baada ya kuapply kwa njia hii.Inaonekana ONLINE applications zinakuwa nyingi hivyo inakuwa vigumu katika kutoa vipaumbele (Kwa Online application inakuwa vigumu kupata uhalisia wa tatizo la mtu ndio maana wameanza kutuma wale Evangelists ktk nchi mbali mbali za Africa).Kwa wale wanaotaka kwenda SCOAN wenyewe wafanye yafuatayo:- 1. Wawe na alau na Usd 900 kwa Ticket (kwenda na kurudi), Accomodation na chakula kwa siku sita 2. Watafute supporting Documents za Hotel Reservation (Payment upon arrival) 3. Wapate Visa ktk Ubalozi Nigeria 4. Then tunaojua kule twaweza kuwapa contacts za kupata hotel karibu na SCOAN na Tax Driver wa kukuchukua toka Airport.
Asante sana mkuu kwa kutufungua macho.
Nadhani sasa tutajua cha kufanya.
Hakuna haja ya kupata manyanyaso kwa Martha.
Viva JF
 


@EH-Mzalendo This is very useful information.
Jamani mwenye macho haambiwi tazama
mwenye masikio asikie mwenyewe
Kazi ni kwako
 
What is that everything? mfarisayo.

Unadhani hadi watu wanakwenda Nigeria hawajajaribu local available solution?
By the way, kila mtu ana imani yake, na anaweza kufanya analotaka.
Heshimu maamuzi yao!

I mean upako, baraka na neema hata tz zipo tele kwaini Mungu habagui watu wake, tatizo kubwa la kizazi chetu tanapenda shortcut na ndo mana dini nayo imekuwa biashara inayoshamiri kwa kasi kwani wajanja washajua demand ya miujiza na viini macho ni kubwa.
 
mfarisayo

Upako, baraka na neema viko wapi hapa Tanzania?
Mbona husemi?
Mbona hutaki kuwaelekeza watu your plan B?
Funguka wazi wazi acha kuzunguka
Wenzako hawajui ndio maana wanataka kwenda SCOAN.
Sema wazi wazi usikike, utawaokoa na nyodom daharau na kiburi cha Martha
 

Nilishaeleza huko nyuma
 
Ifike wakati tubadilike jamani, ni kweli wakenya wemetuzidi lkn vingine wanavyotuzidi ni vya kijinga, eti wametuzidi kauli nzuri kwa wateja, tunataka tuwekewe wadudu mdomoni ambao watakuwa wanatung'ata tukitoa lugha mbovu kwa wateja, labda ndo tutajirekebisha!
 
nivea bora mungu akunyime utajiri kuliko ufahamu embu nisaidie hili kama umesoma miujiza ya yesu vizuri kuna ambao waliambiwa wakapake matope na wakapona kuna waliopaka mafuta wakatoka iweje wewe ambae amesema anaondoka na aliowaacha watafanya zaidi ya aliyoyafanya kwa nini suiamini.......mungu akupenguvu
 
Lisemwalo..............! Of course Watanzania tuwe wavumilivu, mimi nishaenda hapo.. Ujue kuna mambo mengine tusiyachukulie kirahisi hivyo. Mara kwa mara napata taarifa zote ikiwa kuna wainjilisti kutoka the SCOAN - Lagos - Nigeria ambacho ni kitu cha kupigiwa mfano mzuri kwa sie watanzania. Na kama kweli unafuatilia vizuri hata Wainjilisti to the SCOAN wametoa compliment nzuri tu toka TZ. "It's very easy to come to JESUS CHRIST, the problem.... how to maintain. You come and collect you ANOINTING WATER AND STICKER but stil fail to get deliverance. Anointing water is not something like PANADOL that if you have headache you get healed like that. No, no no no...., you have a role to play. First, observe your LOVE life towards others then you will surely notice what you are wishing for. God is GOOD all the time and all the time GOD is good. Have faith, everything will be Ok. We have witnessed some get deliverance through seing man of God, Prophet T.B JOSHUA in the dream; some through touching on the screen on EmmanuelTV during live telecast or re-broadcast just to mention a few.
 

Jana SCOAN kulikuwa na mambo sana.
Watanzania wametolewa mapepo.
Martha was there translating, although it leaves a lot to be desired.

All in all, praise the Lord

cc mfarisayo
 
Last edited by a moderator:
Jana SCOAN kulikuwa na mambo sana.
Watanzania wametolewa mapepo.
Martha was there translating, although it leaves a lot to be desired.

All in all, praise the Lord

cc mfarisayo

Kwani hayo mapepo hayawezi kutolewa hapa tz? hivi mnafunga safari kwenda huko just kutoa mapepo tu? Thats very fun. Kama mngekuwa mnafunga safari kupeleka maiti zikafufuliwe hapo ningewaunga mkono lakini sio kwenda kutoa mapepo.

cc Sumba-Wanga and Co.
 

You have made my day!
waliotazama Emmanuel TV on Sunday will stand to witness.
Kuna mama mtu mzima alikuwa kwenye wheel chair akapona na kutembea.
Wako wengi sana wa aina hiyo.
hadi wamekwenda Nigeraia, walihangaika bila mafanikio hapa Tanzania

cc mfarisayo una kanisa la upako ambalo unakosa wateja wanaokimbilia huko kwa TB Joshua???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…