njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,259 Reaction score 7,108 Jul 6, 2012 #21 Mi nafanya hivo kila week kuna program nimesahau jina .. nikifika home nitaangalia kwenye pc
leh JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 829 Reaction score 376 Jul 6, 2012 #22 nimeiona hebu ni ifanyie kazi. nipe 10mins
D Don Draper Senior Member Joined May 30, 2012 Posts 176 Reaction score 87 Jul 6, 2012 Thread starter #23 Poa ukisoma email utaona zipo docs 2 tofauti majina yanafanana lakini mwisho utaona kumbe moja ni ya 2000 na nyingine ni ya 2011 ya 2000 walitoa fotocopy kisha wakaaatch kwenye PDF (ndio inanitoa kijasho) Ya 2011 iko poa haina mgogoro na wala sina shida nayo kigongo ni hiyo niliyokutumia ya 2000
Poa ukisoma email utaona zipo docs 2 tofauti majina yanafanana lakini mwisho utaona kumbe moja ni ya 2000 na nyingine ni ya 2011 ya 2000 walitoa fotocopy kisha wakaaatch kwenye PDF (ndio inanitoa kijasho) Ya 2011 iko poa haina mgogoro na wala sina shida nayo kigongo ni hiyo niliyokutumia ya 2000
D Don Draper Senior Member Joined May 30, 2012 Posts 176 Reaction score 87 Jul 6, 2012 Thread starter #24 bump....
D Don Draper Senior Member Joined May 30, 2012 Posts 176 Reaction score 87 Jul 9, 2012 Thread starter #25 Hii imeshindikana jamani?
ThinkPad JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 1,844 Reaction score 236 Jul 24, 2012 #26 Tafuta abby fine, hiyo ndio solution ya uhakika tena ukiweza unapata yaku scan na kuconvert kwa ajili ya kindle
Tafuta abby fine, hiyo ndio solution ya uhakika tena ukiweza unapata yaku scan na kuconvert kwa ajili ya kindle