Haiwezekani kufanya kitu kama hiki, space ya memory card inatokana na hardware iliyo ndani yake (flash memory chip) sio software, utakachofanya ni ionekane kama ina 2GB ila ukiweka mafaili yako yatagoma au yatakuwa corrupted.
jamani mbona mi nimeshindwa kudowload hiyo software em nielekezeni