Control number huwa inaisha muda wake wa matumizi?

Control number huwa inaexpire ila kwa muda gan inategemea mtu au system imeset muda gan ili iwe valid. Unaweza ukaweka siku moja, wiki, mwezi, mwaka etc kwa hiyo baada ya huo muda kupita itaexpire. Sasa unapokuta bado ipo active ina maana aliyegenerate aliweka muda ambao ni mrefu
 
Back
Top Bottom