Control number huwa inaisha muda wake wa matumizi?

Lissu jr94

Member
May 21, 2021
53
45
Wadau wa JF,

Naomba kuuliza eti control number kwa ajili ya kulipia ankara huwa ina expire ndani ya muda gani?
 
Ninaenda mwezi ya 5 sasa ninalipa maji kwa control number ile ile.

Bill inakuja lakini namba haibadiriki.
 
Ninaenda mwezi ya 5 sasa ninalipa maji kwa control number ile ile.

Bill inakuja lakini namba haibadiriki.
Mi niko hapa sido...nimekua nikitumwa kulipia kodi ya pango, naona zinakuja tofauti na kuna wakati tuliletewa bili tukachelewa kulipia control number ika expire ikabidi tukapewe nyingine
 
Ninaenda mwezi ya 5 sasa ninalipa maji kwa control number ile ile.

Bill inakuja lakini namba haibadiriki.
Sijui kwako. Ila, ki kawaida, waweza kuitumia zaidi ya mara moja, iwapo ulipolipia, hakikufika kile kiasi ambacho unatakiwa kukilipia. Kikifikia tu, hiyo namba haitumiki tena!
 
Ndiyo mi najua ni mwezi mzima na huwa wanaandika expire date kwenye hiyo invoice yenye control number.

Na ikitokea hujalipa hadi ikaexpire at the time unataka kulipa haitokubali itakwambia invalid C.N hivo utatakiwa kuwacheki wakutumie Control number nyingine.
 
kuna control namba hapa ina siku 8 ngoja nikajaribu kuilipia nione.
 
Back
Top Bottom