Contractionary monetary policy practiced by Magufuli

Contractionary monetary policy practiced by Magufuli

1.What is the difference between monetary policy and fiscal policy
Mbona nimeshajibu kwenye post yangu... Simply monetary policy (plan of action by central bank to control money supply to achieve their objectives) while fiscal policy (use of gov. spending and gov. revenue ie tax to control the economy) imeeleweka hapo..
 
Huyu Mkurupukaji Mkuu ndio anataka kuigeuza nchi yetu kuwa ni lab ya majaribio ya sera za zimamoto na ukurupukaji! Yaani Magufuli anajiona kama yuko pale UDSM Lab ya idara ya Chemia anachanganya madawa kwenye CH 101! Hii haiwezekani kabisa tutarudi nyuma miaka 10!
Hapa umeongea nini mkuu. Una ABCD's za uchumi japo kidogo?
 
m

fisadis na wababaishaji ndio watarudi nyuma miaka 10. wananchi wavujajasho watapata nafuu kung'olewa kupe wanyonya damu. afya yao bila shaka itaimarika ie maendeleo kiuchumi na kijamii
 
Huyu Mkurupukaji Mkuu ndio anataka kuigeuza nchi yetu kuwa ni lab ya majaribio ya sera za zimamoto na ukurupukaji! Yaani Magufuli anajiona kama yuko pale UDSM Lab ya idara ya Chemia anachanganya madawa kwenye CH 101! Hii haiwezekani kabisa tutarudi nyuma miaka 10!
Yule jamaa yenu ndio ingekuwa bure kabisa. Mungu katuepusha na Hilo balaa
 
Wewe itakuwa mchumi butu kabisa, anachafanya magufuli sio monetary policy, 1: monetary involves adjustments of money supply by changing central bank reserves and not otherwise
2. Magufuli hapunguzi mzunguko au kiwango cha fedha anachofanya ni kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa kodi (tax efficiency) na hizo hela anazielekeza katika matumizi ya msingi kama elimu, so by defn hamna hata fiscal policy anayo pursue kwa sasa
3. Policy kama momentary policy hazileti outcomes kisiwa ( targeted outcomes) kwenye nchi nyingi zinazoendelea kutokana na soko kutokuwa telezo (inefficient market ) haziwezi kupeleka signal kwenye soko na matumizi.
4. Implication of monetary policy kwenye income in equality is a null idea.

Lai yangu kwa mtoa Mada either katafute Mishkin uedit Uzi au futa Uzi wako
 
Hapa umeongea nini mkuu. Una ABCD's za uchumi japo kidogo?

Mkuu kwa Magufuli hauhitaji elimu ya Rocket Science kujua ya kwamba yeye ni bomu la masaa! Achilia mbali kujua hizo simple principles za Economics 101. Huyu jamaa kwa sera hizi za zimamoto na ukurupukaji wake basi ni sawa na mfuasi wa ISIS aliyejifunga mabomu na ambae wakati wowote anaweza kujiripua na kuiangamiza TZ! Subirini tuone athatari zake ni kubwa na hazichagui mimi wala wewe! Sasa naona as as long as we're travelling in the same boat, we are all going to sink!
 
subiri uone kama kuna litakalotokea zaidi ya shilingi kuimarika, tena itaimarika kwa shida kwa kuwa mnategemea imports. wacha kukariri vitabu. kawaulize wachumi wa ulimwengu; how long are short-run, long-run periods?

kweli,lakini imports zimepungua kiasi chake,kuna vitu sio lazima Ku import.mfano stick za meno,za mishkaki,vitu vyangozi,sofa na kadhalika .
shilingi kuimarika pia sio deficits tu.
otherwise may be your right
 
Back
Top Bottom