TanzActive
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 367
- 73
Jamani naombeni ushauri kutoka kwa wanajamii ,ni ipi ni best contraceptive ?
Jamani naombeni ushauri kutoka kwa wanajamii ,ni ipi ni best contraceptive ?
This may destroy our marriage !!Abstinence, no question.
give us the full story then. for example, are you allergic to latex?But we still need to get another baby later ,vasectomy is not an option
But we still need to get another baby later ,vasectomy is not an option
kama ww mwanamke mie nakushauri utumie natural method ambayo ni calendar. ILa inabidi mume wako aweze kuvumilia siku 8 za hatari. Hii calendar mie naona the best method kama kama utafuata utaratibu wake maana haina madhara yoyote ni ww na mpenzi wako kuelewana siku zipi nzuri na zipi hatari.
hata siku 8 tu kwa mwezi huyo mwanaume ashindwe kuvumilia, huyo tena atakuwa mroho.atatafuta nyumba ndogo straight away.
failure rate ya hii njia yaweza kuwa 30% kwa the least effective method.
nenda nyota ya kijani ujadiliane na wataalam ama muone gynae.
My patner is allergic to latex
Hii ndio tulikuwa tunatumia kabla ya kupata mtoto ,lakini sasa hivi nanyonyesha na sipati siku zangu ndo maana NFP kama CALENDA,kuchunguza joto la mwili na ute zinakuwa options gumu .kitu hatari hapa siwezi kujiamini ati kwa vile sioni siku zangu basi ni contraceptive tosha maana nilipata siku zangu once halafu zikatoweka ,ninajua next ovolution itatokea kabla sijaona siku zangu.Hii ina maana nikitegemee kunyonyesha tu kama kinga ya mimba the next thing I will realise is pregnanancy again!!!!!!!.No jamani hatuhitaji mtoto mwingine mapema hivyo na pia tunahitaji kufurahia ndoa yetu .Wanandoa wenzagu nipeni uzoefu wenu katika homonal contraceptive au Kama kuna altenative NFP mnayojua kwa mama anayenyonyesha anayoweza kutumia ikiwa hapati siku zake .kama ww mwanamke mie nakushauri utumie natural method ambayo ni calendar
Naamini hapa wapo wanaofahamu zaidi na wenye uzoefu katika anga hii kuliko mimi ,ndo maana nauliza hapa!! nadhani kuishi bila any ni Dunia ya kufikirika zaidiKama kila contraceptive unaifahamu na unasababu ya kutotumia, basi ishi bila kutumia any