Continental decoder: kwa yeyote yule mwenye king'amuzu cha continental

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,766
Nimechoshwa na startimes kiukweli
Haya mwenye kisimbusi cha continental cha antenna vipi:-

Cha antenna kina channel ngapi???

Cha dishi jee??
Wanazo channel za aina gani???

Vipi ubora wa picha wa dish na antenna??

Vipi ubora wa picha wa antenna?natamani nipate cha antenna tu

Vipi local channels???

Kuna mtu kanambia hichi kisimbusi ni hd na kina ubora wa picha kuliko hata startimes cha dish

Mwenye nacho plzzz aniambie maana nataka nikitafute
 
Kiko vizuri picha inang'aa vizuri .
 
Kwa sasa tulia kwanza... unapotaka kuamia ni porojo tupu. Fanya kusubiri hiki kiupepo kitulie.
 
Ni ngumu sana kumshauri mtu achukue hiki kisimbusi but chukua "at your own risk"

Ninacho mda sana lakini kukosa signal kwa mwezi mzima au miwili ni kitu cha kawaida sana,walinitesa sana siku moja nikaamua kukimbilia multi choice ila naendelea nao kibishi.
 
Una dish au antenna??
 
Nimechoshwa na startimes kiukweli
Haya mwenye kisimbusi cha continental cha antenna vipi:-

Cha antenna kina channel ngapi???

Cha dishi jee??
Wanazo channel za aina gani???

Vipi ubora wa picha wa dish na antenna??

Vipi ubora wa picha wa antenna?natamani nipate cha antenna tu

Vipi local channels???

Kuna mtu kanambia hichi kisimbusi ni hd na kina ubora wa picha kuliko hata startimes cha dish

Mwenye nacho plzzz aniambie maana nataka nikitafute
Nakitumia mwaka wa nne huu kiko vizuri sana sema tuu kuna muda chanel zinakata nadhani ni sababu location yangu haiko vzr sana picha zake ni HD sauti iko clear sana wana local channel zote na huzilipii sometime hata hizo walizoongeza unaweza ukazipata bila kulipia kama wasingetetereka hawa jamaa hata azam isingeona kitu sema ndio diallo alitetereka kidogo hapo kati
 
kipo vizuri ila wanakera baadhi ya channels zao kama star movies+ wanarudia movie ata miezi 5 hiyo hiyo, au star sports kuna mechi ya Ivory Coast na Senegal kila siku inarudiwa tangu mwaka Jana.
 
Cha antenna au
 
Oooh
 
Back
Top Bottom