The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,551
- 20,346
GT
Hakuna asiyejua contents creator wengi wa Tanzania ni propaganda machines za CCM . Hivi wanaombewa 2B kwa lipi kwanza.
Hivi hili taifa halina vipaumbele hadi tunaenda kwenye biashara za watu binafsi watz wanteseka sana kwa kukosa huduma muhimu sana kama maji na huduma za afya.
Kwa nini ukachezee hela kwa contents creator kwa sababu tu wataandika habari za kuwasafisha mafisadi wa CCM? Huu ujinga uachwe mara moja.