Jaribu kukumbukqKwa Qatar Kuna kampuni ipo ostabay inasaidia kukupa connection ila jina nmesahau wanasaidia tena hawachaji ghalama zozote zile
UKO NCHI GANI KWA SASA?Habarini Wakuu!!!!
Nahitaji mwenye Connection ya Ajira kwa nchi hizi (Canada, Dubai, Qatar, Denmark, Finland, Iceland, Norway,Sweden).
Kama mnavyojua Bongo ajira ni kipengele kidogo, Sasa katika kuangalia mtandaoni naona wenzetu Wakenya wanasafiri sana nchi hizo kwenda kufanya kazi, na siku hizi hata wa Malawi wanatupita kwa kwenda kuhangaikia Fursa huko Nje ya Nchi.
Hivyo ndugu zangu, kama una Agent unamjua au website nzuri unaijua ambao wanatoa fursa za ajira kwa nchi hizo naomba tufahamishane hapo chini kwenye comment au pia DM.
Level yangu ya Elimu ni Masters. Naweza kufanya skilled na Unskilled jobs pia bila kuchagua. Cha muhimu hela iingie.
Shukran.
Habari wa jamii,
Naomba niwape taarifa nzuri kwa wale wanaotaka connection ya kwenda Japan njoo inbox nikupe maelezo kamili na kuanda vikao,tafadhali kwa wale ambao wako serious tu
Huko Hirushima na Nagasaki 😜Habari wa jamii,
Naomba niwape taarifa nzuri kwa wale wanaotaka connection ya kwenda Japan njoo inbox nikupe maelezo kamili na kuanda vikao,tafadhali kwa wale ambao wako serious tu
Habari wa jamii,
Naomba niwape taarifa nzuri kwa wale wanaotaka connection ya kwenda Japan njoo inbox nikupe maelezo kamili na kuanda vikao,tafadhali kwa wale ambao wako serious tu
Dah Mkuu, sijaelewa ulichokiandika hapaNina mdogo angu mmoja yeye bucket list yake ni kuishi nchi tofauti tofauti duniani[emoji28]
Kaishi China [emoji[emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]][emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]]]][emoji[emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]][emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]]]][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]][emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]]]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]][emoji[emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]][emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]]]][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]][emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]]]]]+ years kasema kachoka.(wakati mimi nipo China [emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]]][emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]]]+ na sijachoka[emoji23])yuko bongo sahiz anaanda harakati za kwenda canada akapige mitano yake tena[emoji28]
Kama upo serious una connection nicheki nione procedures zake na nifanye due diligence kabla sijam link.
Lakini kwanini iwe hadi PM na sio kuweka details hapa hapa?
Nimeshindwa kuingia inbox yako tuyajenge ni sms kama unawezaHabari wa jamii,
Naomba niwape taarifa nzuri kwa wale wanaotaka connection ya kwenda Japan njoo inbox nikupe maelezo kamili na kuanda vikao,tafadhali kwa wale ambao wako serious tu