Fikicha macho .mbona sijaona dots za kukonekti?
Morogoro Kwa kuishi ama kuzaliwa?Mhe Waziri anatokea Morogoro na Katibu Mkuu anatokea Mwanza kama sikosei hakuna undugu wowote.
Ni mwenyeji wa Morogoro(Kilosa) kwa kuzaliwa.Morogoro Kwa kuishi ama kuzaliwa?
Hata mm nimezaliwa Arusha ila sio mmasaiNi mwenyeji wa Morogoro(Kilosa) kwa kuzaliwa.
Kama hujui kaa kimya,hiyo morogoro ulimpeleka ww au?? Mwezi uliopita tu hapo TBC walirusha kipindi waziri yupo kijijini kwao kigoma huko,wana nchi wanamweleza kero za umeme,ww unadai kwao Moro!!Mhe Waziri anatokea Morogoro na Katibu Mkuu anatokea Mwanza kama sikosei hakuna undugu wowote.
Kamanda mimi sitaki kubisha sana, ukweli ndiyo huo jamaa kwao ni Kilosa kwa babu na bibiHata mm nimezaliwa Arusha ila sio mmasai
waziri ni muha wa kigoma,huko wanakotoka jamii ya ACT WazalendoNi mwenyeji wa Morogoro(Kilosa) kwa kuzaliwa.
Mkuu hakuna haja ya kupishana kwa jambo ambalo halina maslahi kwa nchi, mimi namfahamu hivyo inatosha.Kama hujui kaa kimya,hiyo morogoro ulimpeleka ww au?? Mwezi uliopita tu hapo TBC walirusha kipindi waziri yupo kijijini kwao kigoma huko,wana nchi wanamweleza kero za umeme,ww unadai kwao Moro!!
yes,ni ukoo wa ACT WazalendoKama hujui kaa kimya,hiyo morogoro ulimpeleka ww au?? Mwezi uliopita tu hapo TBC walirusha kipindi waziri yupo kijijini kwao kigoma huko,wana nchi wanamweleza kero za umeme,ww unadai kwao Moro!!