Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
mkuu tulikua tunatest tu mi mwenyewe nilijua haikubali. hapa hadi mtu atengeneze portable toka version yangu au ya juakali
Hapo sijakusoma mkuu
mkuu tulikua tunatest tu mi mwenyewe nilijua haikubali. hapa hadi mtu atengeneze portable toka version yangu au ya juakali
Hapo sijakusoma mkuu
mkuu labda uwe na keygen ndo utaweza kuchakachua software official ila hakuna key inayochakachua software hapa huwa tunadanganyana. ukiona software ina key then inakubali kua full ujue alonunua hio software kaapload software yake na key zake.
mfano idm unakuta kuna kifile unapewa ureplace original file then ndio ueke key hapa inamaanisha kile kifile ndio cha alienunua then zile key ndio zake watu dunia nzima wanadownload na kutumie file na key zake
mkuu mzigo wakweli huu hapa nimeubamba mi nakula bata tuudone nshakibeba kitu buree
View attachment 101626
nimeficha licence key nikiinstall ntawapa kama itakubali maana sjajua kama ni scam au ni kweli
mkuu mzigo wakweli huu hapa nimeubamba mi nakula bata tuu
mkuu mzigo hauna shaka ukikuzingua bado nipo hewaniNa mm ngoja nijaribu kupakua
mkuu mbona nimejaribu kudownlod inagoma?mkuu mzigo hauna shaka ukikuzingua bado nipo hewani
mkuu mzigo wakweli huu hapa nimeubamba mi nakula bata tuu
nimekusoma mkuu,ngoja tuparanganehyo ni 3.7 watu wanataka 5