Congrats: Hussein katanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Congrats: Hussein katanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ntambaswala, Jul 25, 2011.

 1. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Moyo wa kujituma
  Kupenda kujiendeleza
  Kujiamini- makonfu
  Networking
  Smartness-upstairs

  Hivyo ndivyo vimemfanya kijana huyu afike hapo alipofika kuwa Katibu Mkuu Serikali za Mitaa. Ni mfano mzuri kwa vijana wa sasa ambao hawataki kupafomu kwenye kazi zao. Huyu kijana kaanzia mbali toka uhasibu msaidizi hadi kuwa Katibu Mkuu. Nadhani imemchukua karibu miaka 16 kufika hapo alipo.
   
 2. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  kweli anastahili pongezi, lkn awarudishie wale yatima aliowadhulumu shamba kule mlandizi
   
 3. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sio kweli kuna mtu kachanganya mambo. This guy will NEVER do such a thing- he is very ethical and God fearing person
   
 4. bi mkora

  bi mkora JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna jukwaa maalum kwa ajili ya pongezi, hamisha hii kitu hapa.
   
Loading...