Congolese Rhumba thread

Congolese Rhumba thread

Andy mputu- Ferre gola
 
kuna bwege alipewaga mkwanja wa urithi akanunua crown ***** mwanzo mwisho anapiga rhumba tu

sijui yu wapi jamaa angu
 
kuna bwege alipewaga mkwanja wa urithi akanunua crown ***** mwanzo mwisho anapiga rhumba tu

sijui yu wapi jamaa angu
Hutaki mtu ajipe raha rhumba tamu bwana hata jasho hutoi
 
Wadau hivi May Day ya Fallie imekosa mpinzani kwa sasa? au tayari kuna zaidi yake.
 
Back
Top Bottom