ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,676
- 57,094
Congo ndo kila kitu. Nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali pengine ndo inaoongoza Dunia nzima.congo ndo njiapanda ya utajiri. Congo ndo chanzo cha Africa kugawanywa ndo chanzo cha mkutano wa Berlin..
Tazama congo ilikuwa under Belgium na hapo hapo makao makuu ya umoja wa ulaya yapo Belgium..madini ya congo ndo yalitumika kwenye vita kuu ya dunia.Congo ndo kila kitu na hata gorilla mnyama mwenye uwezo karibia ya binadamu anapatikana congo.
Utazaliwa utakufa mgogoro wa Congo utauacha maana ni mgogoro wa kidunia ule.
Poleni sana wa congo man