Congo dust ni nini?

Hiyo nimifuko mbadala ya serikali usihangaike
 
Uzuri mifuko hiyo ukiichoka kama vibebeo na vifungashio unaila na chai kama kula chapati vile
 
umesikia wapi ndugu? ni vema ukauliza huko ulikosikia watakupa majibu kuliko huku. humu mgeni wengi.
 
Ni balaa za vijana mkuu,mbadala wa viagra,wanaamini ni vitu vyenye asili ya congo na blahblah nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…