Confusion ya Marafiki, Please help!

uuuwiiii. mi ningekuwa namrudisha dukani kuilipia, lol!
 
Kabla sijasoma comments za watu wengine, naomba nitoe mtazamo wangu.
Kuna idadi kubwa sana ya watu tena hata hao wazima, kwanza hawajui wanachokitaka wao hapa duniani ni kipi na pia hawana misimamo (kutojiamini) huendeshwa sana na kile kinachofanywa na watu wengi; so design ya watu wa namna hiyo huwa influenced kirahisi sana. Katika kundi hilo, wakikaa na watu wazuri ni rahisi sana nao kuwa wazuri, hali kadhalika wakikaa na kundi ovu.
Mara nyingi watu wenye misimamo isio yumba ndio tunaowaita maconservative, mfano mzuri ni Saul ambaye akaja kuwa Paul; wakati akiwa na imani ya wafirisayo alikuwa thabiti na imara sana na hata baada ya kuongoka na kumfuata Yesu aliendelea kuwa thabiti na imara katika kuueneza ukristu.
Humu jamvini kuna no ndogo sana (IMO) ya watu wa design hiyo; wengi wetu tunaenda na popular opinion na ndio maana tunaangalia personality zaidi ya objectivity ya mtu.
 
hapa sijui niseme nini rafiki....
ila ukijikuta kwenye kundi la u-utu uzima halafu huwezi kusema NO kwa kile unachoamini kuwa siyo kizuri basi sijui utakuwa kwenye kundi gani....
Asante kwa mchango mzuri
 
hapa sijui niseme nini rafiki....
ila ukijikuta kwenye kundi la u-utu uzima halafu huwezi kusema NO kwa kile unachoamini kuwa siyo kizuri basi sijui utakuwa kwenye kundi gani....
Asante kwa mchango mzuri
Labda nimeweka extreme case, lkn waweza kuwa na idea hata ya mbali ya kuwa unataka nini; lkn usijue kwa kiwango gani unataka hicho kitu na jinsi gani ukipate; sasa role ya rafiki inakuja pale. Akiwa mzuri si tu kwa tabia lakini na uelewa basi umo mfaida (as we say in kiha) lakini akiwa sio mzuri au uelewa wake umepinda anaweza kukushauri vibaya na wewe ukafuata ushauri wake. So role ya rafiki in normal daily life ni kushauri sio lazima nini lakini hata HOW!

Normally people do CHANGE iwe positively au negatively under influence of:-
-Marafiki, jamii (wanaokuzunguka, trend na advert kwenye TV, Billboards etc)
-Technology
-Shida (magonjwa, kuwa jobless etc)
Sasa smart people use influence of change to accomplish their goals, lakini wengine tunapelekwa na kile kiingiacho mjini na marafiki.
 
nakubaliana na kubadilishwa na marafiki.......
kinachonitatiza ni kwa nini watu wakikuona na rafiki ambaye ana tabia mbaya wanafikiria utabadilika (umesha) kuwa na tabia mbaya?
hawawazi kuwa wewe ni mtu mzima na unaweza usikubaliane na mabaya yake?
 
nakubaliana na kubadilishwa na marafiki.......
kinachonitatiza ni kwa nini watu wakikuona na rafiki ambaye ana tabia mbaya wanafikiria utabadilika (umesha) kuwa na tabia mbaya?
hawawazi kuwa wewe ni mtu mzima na unaweza usikubaliane na mabaya yake?

Na hawafikirii kuwa wewe waweza mbadilisha?
May be coz evil is more attractive than good.
Anyway people like to insinuate especially bad things, mimi hiyo huwa hainisumbui wala kunifikirisha!
 
Siku zote jamii ina namna inavyowatazama watu
so lazima iku cost ukiwa na marafiki wenye tabia fulani
its all about perception sometimes
hiyo jamii hiyo, kwa nini isiwe positive?
kwa nini isifikirie kuwa pamoja na urafiki wetu mimi kama mimi nina maamuzi yangu?
 
Na hawafikirii kuwa wewe waweza mbadilisha?
May be coz evil is more attractive than good.
Anyway people like to insinuate especially bad things, mimi hiyo huwa hainisumbui wala kunifikirisha!
kumbadilisha ni one thing......
In case siwezi kumbadilisha na hizo tabia zake kiukweli kabisa haziathiri urafiki wetu, ndo niache kuwa naye sababu watu wanaona ana tabia mbaya?
 
kumbadilisha ni one thing......
In case siwezi kumbadilisha na hizo tabia zake kiukweli kabisa haziathiri urafiki wetu, ndo niache kuwa naye sababu watu wanaona ana tabia mbaya?

Sure you can let each other be; kwasababu you are not a custodian wa moral values zake. My dear FP people wont stop talking simply because you and l dont like it. So like l said, mimi sihangaishwi na watu and l mean wowote wanasema au kufikiria nini juu yangu; ninayo misingi yangu ndio inayoniongoza.
 

Ushawishi wa marafiki utauona hasa wakati wa shida au raha. Kwa mfano:
Unashida ya kimahusiano na rafikiyo ni mtumiaji wa pombe/ganja sana. Atkushauri au utaona na wewe suluhisho ni pombe/ganja kwani rafikiyo anaipiga na mambo yake yanakwenda sawa.
Kama rafiki yako ni jambazi, jiandae kuhoji na polisi.
Kama rafiki yako ni Changudoa, jiandae kuletewa wanaume au kuuzwa kwa wanaume.

Kwa hiyo, marafiki ni muhimu sana ingawa ushawishi wao waweza kuwa polepole sana.
 
Umesema sawa kabisa Kaunga....
ni vizuri kujiamini mwenyewe kwa unachofanya
 
Last edited by a moderator:
hapo RED ni kwamba ataondoa kwanza akili zanguuuu au? hainiingii kichwani
Hiyo green ni sahihi kabisa, lakini haimaanishi kuwa na mimi nitakuwa jambazi.... polisi watataka tu some info (kama najua) kutoka kwangu. hii pia inawakumba ndugu au wazazi..... mwanao hawezi kuacha kuwa mwanao sababu ni jambazi, ila polisi lazima wakufwate kukuhoji ujambazi unaohusika na mwanao ukitokea, hasa kama bado unakaa naye home au jirani
 

Uhusiano wa kidungu ni tofauti na urafiki. Huwezi ukaomba udungu kwa maana hiyo wazazi wataendelea kuwa wazazi bila kujali hali ya mtoto wao. Urafiki unaweza kufa wakati wowote. Lakini urafiki unakuja kulingana na kufurahisha/kuvutiwa na mambo fulani fulani anayoyafanya mwezio. Huwezi ukawa rafiki mkubwa wa changudoa, na unajua kabisa ni changudoa, halafu wewe unasema unafurahishwa na hali hiyo. Lazima utakuwa na element ya kutoona tofauti kati ya madhara ya uchangudoa na maisha kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…