Confused,I need your help!

Amina mtumishi wa Mungu,miaka yote hiyo mpaka kesho nitadumu kuomba.asante nitafanya hivo
 

ushauri mzuri sana jamani..
 
Pole sana,, haya yananizidi umri wakubwa watakushauri tu.
 
Naomba tutafutane, mi pia nina problem hiyo. Wife hataki ku-do kabisa. Tuwe tunafanya halafu tunarudi kwa wenzi wetu. No strings attached. Unaonaje? Ni PIM ili tupeane namba za simu tupange pa kuonana.

Okon umenichekesha mpaka basi, wala ufanyi ajizi ila no string attached, mkimaliza kila mtu kivyake..
 
Kwa umri wako kwa mwanamke ndo hamu ipo juu

Hapo hakuna solution zaidi ya hospitali

Anyway, mumeo ana miaka mingapi? Kama yupo alasiri then issue nyengine
 
kabla ya ndoa hatukuwahi kukutana kimwili!
 
Thanx for ur concern!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…