Nawasalimu!Ni member mpya humu jamvini,japo nilikuwa naingia Mara kwa Mara.Ni mwanamke niliyeolewa miaka 10 iliyopita,nina miaka 34,nina mtoto mmoja aged 3yrs.Tangu nimeolewa sijawahi kufurahia mapenzi,na sijawahi fikishwa kileleni.Changamoto niliyonayo na ambayo imenisukuma kuomba ushauri kwenu,ambao naamini waweza nipatia japo ufumbuzi wa tatizo.tatizo lilipo ni udhaifu wa mume wangu kitandani,yaani huwa Hana hamu ya kugegeda,sijawahi ku"do"Mara mbili kwa siku moja,hawezi kurudia round,akimaliza anachoka,na hata tukifanya dakika 5 ni nyingi game inakuwa over. .Na tunaweza maliza mwezi na zaidi hatuja"do"tena,nimeishi ktk mazingira hayo kwa muda wote Huo,na nimekuwa mwaminifu kwa muda wote Huo.kadri cku zinavoenda nahisi kukosa kufurahia tunda,na mr. Anadai kapata hili tatizo tu,huko nyuma alikuwa fit,je wadau twaweza pata suluhu?ishu ya usaliti siiwezi kabisa,and we love each other,hili tatizo naye linamsikitisha,nikimwambia twende hospital hayuko tayari,na mwili wangu una demand huduma takatifu!na hatuwezi ku do mpaka mie nimshawishi tena kwa lazima,hata miezi Sita yaweza kupita bila huduma,na nilikuwa sioni shida,lakini siku hizi inanipa shida.naombeni ushauri wenu,mnisamehe bure sijaweka para,device nayotumia siyo friendly.thanx[/QUOT
HAPA KINACHOHITAJIKA NI AINA YA VYAKULA ,NA MTINDO WA MAISHA KWA UJUMLA.....KAMA NI MTU WA FEGI AACHE,PIA GAHWA,TCHAI,POMBE, N.K.
ASITUMIE SEMBE AU NAFAKA ZILIZOKOBOLEWA......WAKATI WA JIONI JARIBU KUMPATIA TANGAWIZI CONC. HALAFU BAADA YA MUDA ....MPATIE MDALASINI ILIYOCHANGANYWA NA ASALI.... PIA AWE NA MUDA MREFU WA KUPUMZIKA ....NI SIKU CHACHE TU UTAONA MABADILIKO.........
Umri wa mumeo ni miaka mingapi?
Je mumeo ana magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu, maumivu ya pingili za uti wa mgongo?
Ana historia yoyote ya kufanya masterbation au ana tatizo la mfadhaiko?
Asante ndg nitayafanyia kazi.ubarikiwe kuwa msaadaNawasalimu!Ni member mpya humu jamvini,japo nilikuwa naingia Mara kwa Mara.Ni mwanamke niliyeolewa miaka 10 iliyopita,nina miaka 34,nina mtoto mmoja aged 3yrs.Tangu nimeolewa sijawahi kufurahia mapenzi,na sijawahi fikishwa kileleni.Changamoto niliyonayo na ambayo imenisukuma kuomba ushauri kwenu,ambao naamini waweza nipatia japo ufumbuzi wa tatizo.tatizo lilipo ni udhaifu wa mume wangu kitandani,yaani huwa Hana hamu ya kugegeda,sijawahi ku"do"Mara mbili kwa siku moja,hawezi kurudia round,akimaliza anachoka,na hata tukifanya dakika 5 ni nyingi game inakuwa over. .Na tunaweza maliza mwezi na zaidi hatuja"do"tena,nimeishi ktk mazingira hayo kwa muda wote Huo,na nimekuwa mwaminifu kwa muda wote Huo.kadri cku zinavoenda nahisi kukosa kufurahia tunda,na mr. Anadai kapata hili tatizo tu,huko nyuma alikuwa fit,je wadau twaweza pata suluhu?ishu ya usaliti siiwezi kabisa,and we love each other,hili tatizo naye linamsikitisha,nikimwambia twende hospital hayuko tayari,na mwili wangu una demand huduma takatifu!na hatuwezi ku do mpaka mie nimshawishi tena kwa lazima,hata miezi Sita yaweza kupita bila huduma,na nilikuwa sioni shida,lakini siku hizi inanipa shida.naombeni ushauri wenu,mnisamehe bure sijaweka para,device nayotumia siyo friendly.thanx[/QUOT
HAPA KINACHOHITAJIKA NI AINA YA VYAKULA ,NA MTINDO WA MAISHA KWA UJUMLA.....KAMA NI MTU WA FEGI AACHE,PIA GAHWA,TCHAI,POMBE, N.K.
ASITUMIE SEMBE AU NAFAKA ZILIZOKOBOLEWA......WAKATI WA JIONI JARIBU KUMPATIA TANGAWIZI CONC. HALAFU BAADA YA MUDA ....MPATIE MDALASINI ILIYOCHANGANYWA NA ASALI.... PIA AWE NA MUDA MREFU WA KUPUMZIKA ....NI SIKU CHACHE TU UTAONA MABADILIKO.........
Umri wa mumeo ni miaka mingapi?
Je mumeo ana magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu, maumivu ya pingili za uti wa mgongo?
Ana historia yoyote ya kufanya masterbation au ana tatizo la mfadhaiko?
Je ni mvutaji wa sigara au mnywaji sana wa pombe?
Halafu ngoja pia nigeukie upande wako...
Kabla ya kuwa na mumeo, ushawahi kushiriki tendo la ngono na mwanaume mwingine hapo kabla?
Kama ndio, je huwa unafanya comparions?
Huwa unatumia muda mrefu kujiandaa kifikra na kimwili kabla ya kungonoka?
Yuko kwenye early 40's,hana magonjwa hayo,ila anakunywa pombe.sijajua kama alikuwa anafanya masturbation si unajua hiyo ni siri ya mtu.huwa inategemea make siku nayotaka yeye hayuko tayari,na mpaka m do ni kwa kumlazimisha so huwezi ku enjoy.sikuwahi kufanya mapenzi kabla ya ndoa.haya maswali mazuri..yapo tekniko kabisa...ngoja tusubiri majibu yake.
Naomba tutafutane, mi pia nina problem hiyo. Wife hataki ku-do kabisa. Tuwe tunafanya halafu tunarudi kwa wenzi wetu. No strings attached. Unaonaje? Ni PIM ili tupeane namba za simu tupange pa kuonana.