Confirmed: Tcu selection

Kwan TCU zipo ngapi?hivi vyuo ambavyo vimetoa selectn majina hayo yamefanyiwa final approval na TCU gan?actually this is drama
 
Jiandae kwa first,second and third round selection!

Vyuo vidogo hivo vinachukua 2.5 vyenyewe havinaga noma ya kuyapitia majina kwa sababu wingi wa wanachuo waliowapata ni faida kwao coz ada zao ni juu sana hivo kuwadisco ambao ni vitega uchumi huwa hawawezi ndo maana vimekuwa na kihelehele kuyaweka majina kwenye mtandao na kuwatumia sms wateja wao. Fikiria vyuo vikongwe kama mzumbe, udsm, sua, muhas, udom, aru, vimekaa kimya coz vinajua kwamba vinataka majembe ya daraja la kwanza mpk la pili tu so hakuna haja ya kuwapasha roho vijana wao
 
Kwan TCU zipo ngapi?hivi vyuo ambavyo vimetoa selectn majina hayo yamefanyiwa final approval na TCU gan?actually this is drama

Vyuo vidogo hivo vinachukua 2.5 vyenyewe havinaga noma ya kuyapitia majina kwa sababu wingi wa wanachuo waliopata ni faida kwao coz ada zao ni juu sana hivo kuwadisco ambao ni vitega uchumi huwa hawawezi ndo maana vimekuwa na kihelehele kuyaweka majina kwenye mtandao na kuwatumia sms wateja wao. Fikiria vyuo vikongwe kama mzumbe, udsm, sua, muhas, udom, aru, vimekaa kimya coz vinajua kwamba vinataka majembe ya daraja la kwanza mpk la pili tu so hakuna haja ya kuwapasha roho vijana wao
 

Acha dharau wewe hivi utajisikiaje hao unaowaponda wakija kukuzidi katika maisha na kusoma kwako vyuo vikubwa.....uchunguzi unaonesha wanaofaulu kwa kubahatisha ndo huwa na mbembwe za hovyohovyo kama zako hivi waliopata div 1 watu 388 na div 2 abt 5892 wangekuja huku na kujitapa kama wewe kungetosha huku..........find a hobby brthr majungu hayajengi
 

Naunga mkono hoja
 
Naunga mkono hoja

Flammable utaungaje mkono hoja wakati ww mwenyewe umechaguliwa hvyo vyuo wanavyoviita vya kata!! nakushangaaa.!! Me nimechaguliwa UCLAS lakin cwez nikaunga mkono hoja kama hiii
 
Flammable utaungaje mkono hoja wakati ww mwenyewe umechaguliwa hvyo vyuo wanavyoviita vya kata!! nakushangaaa.!! Me nimechaguliwa UCLAS lakin cwez nikaunga mkono hoja kama hiii

you got a point..tungekuwa na watu kama elfu wenye mawazo kama yako Tanzania tungekuwa developed country and not developing country
 

nameikubali sana point yako
 

mi mgeni hapa,napita tu,ila kukusadia,huyo anayedai hivyo vyuo vinasubiri wenye madaraja ya juu muulize kama anajua kujumlisha achukue idadi ya waliopata div one and two ajumlishe alafu agawanye kwa hivyo vyuo alivyovitaja akuambie kila kimoja kitapata wanafunzi wangapi na kama kweli ndo capacity zao?
 

idadi ya waliokosa ni 800 jamani na sio 8000 gazeti la the citizen lilikosea kuchapisha
 

Mbwiga instants la ngapi?
 
Noma saanaa! but nakumbuka last year wale wa udsm tulikuwa wa kwanza kupata posts kupitia hapa hapa jamvini!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…