Bollo Yang
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 440
- 57
Thanks kwa taarifa ya kutupa moyo.lets keep on waiting!
Airtel yatosha.
kweli airtel yatoshana bado.....
Ngoja nkalinunue.....ila kiingereza nacho tabu!!
Wadau,
TCU selection kwa vyuo vyote itatoka baada ya 25 mwezi huu, maana kwa sasa majina ya waliochaguliwa yamepelekwa kwa vyuo husika ili wayapitie, then watayarudisha majina hayo kwa TCU tarehe 25 mwezi huu, na TCU watafanya final approval na kuyatangaza mwisho wa mwezi huu.
Chanzo: Gazeti la Citizen la leo.

Yeah,
it is true. Kama huna hela za kununua gazeti tembelea:
The Citizen: Home - Tanzanias leading english news site.
kwa hiyo mimba zenu zinazaliwa wiki ijayo hongeni wakunga
nilivyoelewa mimi; TCU watayapublish kuanzia tar 1/9 after final approval, but vyuo wataanza kupublish kwa ujumla kuanzia tar25 mwez huu, ingawa kuna baadhi ya vyuo wamesha publish tayari.! Wana jamvi nyie mmeelewaje hiyo taarifaaa