Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
Cantalisia wewe pekee ndio unaweza thibitisha ili. Subiri tym will tell.
Mimi, alikuja kuniambia siri yake; kwakuwa mimi ni mshikaji...... Jaydee song inahu!
Hahahahaaaaa nilitamani ila nikaogopa mziki wako maana Lol nisijevunjika nanii yangu bureee
My dia Erotica una mpango wa kunitembelea au?!!!Cantalisia wewe pekee ndio unaweza thibitisha ili. Subiri tym will tell.
My dia Erotica una mpango wa kunitembelea au?!!!
Ur well come sana lol!kwetu tunapenda wagen atiiiiiii!
Ngoja aje then ile kwako...unadhani majini mahaba wote wa kike....wengine wako kotekote....lol