MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 8
- Thread starter
-
- #41
Acha uwongo! mtu kwenda kwao ndio kujinadi?
Pili hebu jifunze KISWAHILI kabla ya kuja kutuandikia madudu yalojaa errors zisizoeleweka!
Hivi kwa mtu mwenye nafasi yake na aliyezaliwa kwenye familia ya Mwanasiasa na ambaye anafanyakazi ya Kiserikali kweli aende Nyumbani kwao bila kukutana na watu tena kwa nafasi yake itakuwa sawa?
Asante sana mkuu kwa ukosoaji ila kwa taarifa yako JM sio mzaliwa wa bumbuli..mama ni Mhaya na baba ndio mzaliwa wa kule, hao watu wake alioenda kuwaona unawajua wewe, lakini pia sehemu anapotokea mzee makamba (mahezangulu) ni mbali sana na soni, ipo korogwe...
Uwongo mwingine ulioegemea kwenye UDINI!
rudi tena kwa huyo anayekupa hizi taarifa kisha utuletee FACTS badala ya kuleta stori ya Kuunganisha.
Pili ukweli ni kuwa hakusubiri watu kuswali bali yeye mwenyewe aliswali na baada ya hapo waumini walimuomba kama ana lolote la kusema na akasema kuwa nafasi hiyo si yake bali ni ya Imam na baada ya Imam kuinsist na kwa mila na desturi za watu wa Pwani Mdogo kwa Mkubwa hakui na hubishi hivyo alisimama na kusalimia waumini mle ndani
Inaonekana kama unamtetea, mimi ndio nipo hapa, huyu bwana alitaka atake advantage ya kukutana na watu wengi ndio alisubiri swala ya ijumaa kwa taarifa yako hakuswali na swala ilipoisha walipoomba awasalimie waumini aliporuhisiwa alitaka kuingia na viatu diwani wa soni ndio alimzuia,ndipo alipopaa nafasi ya kuongea na wachache, kwakuwa wengi walikuwa wameshamsikia na waipangakutokumuunga mkono hata kabla hajafka.....
Na pia alisema wazi kuwa SALAM ZAKE ZISITAFSIRIWE KAMA KAMPENI yeye kaja kuswali kama waislamwengine na mindhali leo ilikuwa Ijumaa sasa tatizo liko wapi?
Una uhakika kama JM ni Muislamu au unamsemea??
Unazungumzia Piki Piki..hivi le mtu Kama ES au Mwanakijiji au Pasco akienda Kijijini kwao akatoa Computer au Baiskeli ndio atakuwa ana kampeni? kama kutoa kusaidia kwenu ni kampeni basi wengine tusingejenga zahanati na shule mbili tatu ili wananchi wapate matunda ya sie wengine kutafuta na kutumia nafasi tulizopata kuwanufaisha!
Pikipiki alizotoa amesema kabisa ni kw ajiri ya kampeni na wat aliowapa wamshindwa hata kuzitumia, tatizo JM hata watu anaotumia kwenye kampeni awaju vizuri, wengi hawamkubali naweza hata kukupa majina yao,na mtu anayemtegemea sana anafanya kampeni za kihuni hakubaliki.
Jamani tuwe werevu katika kutoa thanks,kwani huyu ndugu Mtazamowangu yeye kila anayeongea hata kama ni pumba anampa thanks!
.
'Like father like son' na 'like mother like doughter' ni misemo too based on genetics lakini kuna mambo ya mutations, Wazazi ni wema kabisa wanakuja pata watoto mabaradhuli ajabu!. Pia inatokea wazazi wa ajabu kabisa wakapata watoto wema wa kushangaza.
Kwa January, naomba tumjudge on his own merit. Nimemsoma kwenye thead ya 'the next generation leaders na kumuona akichat na Obama siku JK alipokwenda kujikomba pale White House, mimi binafsi kijana huyu namkubali kama ninavyomkubali Nape. Hawa ndio generation itakayokuja kuibadili CCM.
Japo siipendi CCM, its a fact 2010 ni CCM tena, then better have better CCM than bank on the waste.
I can see hope for change in him!, japo mtoa hoja katoa hoja na kiroja juu yake!.
.Pasco what you see here is POLITICS OF HATE na hii hate in run deeper than you can imagine
JF ni chombo platform ya vijana wenye mawazo tofauti ambayo saa zingine ni too radical au extreme na mwenyewe nadhani huwa unaona hapa jinsi tunavyoshikana mashati lakini we all have one thing in common: WE LOVE OUR COUNTRY SO DEARLY na tuna routes mbali mbali za kutaka kutatua matatizo yetu na moja wapo ni hili la WAZEE WALIOISHIWA MAWAZO ya namna ya kutatua matatizo ya TAIFA hili
Yes, binafsi nina matatizo na baadhi ya sera za CHADEMA lakini if it means kuwa mtu kama JJ MNYIKA au ZITTO ndio wawe ma Reps wetu then be it! acha waende lakini i would have thought kuwa JF ndio itakuwa mahala pa kwanza pa ku sabotage vijana wenye nia nzuri kama January
ndio maana ninakubaliana nawe LETS JUDGE THE GUY ON MERIT badala ya surname yake na if anything its about time watu kama yeye wakapata support ya vijana badala ya HIZI politics of ENVY zinazoendelezwa humu
January hajatangaza anataka kugombea ubunge lakini akitangaza then apewe nafasi ya kujieleza kwa watu kwa nini anataka kugombea na watu wapate nafasi ya kumuuliza maswali na wakiridhika kuwa anafaa then sioni kwa nini asipewe support.
katika kuonyesha kwamba wananchi hawataki kurubuniwa sasa, Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya lushoto amekataa vyerehani vilivyotolewa na January Makamba vikiwa ni sehemu yake ya kujitangaza kwa wananchi wa jimbo la bumbuli,...
Makamba is better pale alipo, hii ya kuhangaika na siasa za "nchele na tanzi" zitamsumbua sana
Hivi kwa mshahara wa civil servant mtu anaweza kuwa na fedha za akiba za kununua chereheni mia moja za kugawa kwa wapiga kura watarajiwa?
Sitashangaa hata hii thread kama ni yale yale ya watu kuja hapa kumwaga kila aina ya accusations ambazo hazina hata chembe ya ukweli.
Mtumaji huku anamshutumu January na upande mwingine anajifanya ana muunga mkono. Ni yale yale ambayo tumeyaona kwenye threads zingine zinazohusiana na uchaguzi 2010. Lengo ni kujaribu kuwadanganya wana JF.
Tuletee basi picha ya vyerehani 100 maana huo ni mzigo mkubwa sana.
Watanzania kweli wapumbavu. Kulikuwa hakuna hata sababu ya kumpa muda wa kusikiliza uchafu wa kijana fisadi huyo. Huyo kijana ana lake jambo na bila shaka katumwa na kundi la mafisadi, dawa yake ni kuchapa risasi ya kichwa mapema.
Sitashangaa hata hii thread kama ni yale yale ya watu kuja hapa kumwaga kila aina ya accusations ambazo hazina hata chembe ya ukweli.
Mtumaji huku anamshutumu January na upande mwingine anajifanya ana muunga mkono. Ni yale yale ambayo tumeyaona kwenye threads zingine zinazohusiana na uchaguzi 2010. Lengo ni kujaribu kuwadanganya wana JF.
Tuletee basi picha ya vyerehani 100 maana huo ni mzigo mkubwa sana.