Confirmed: It is possible to love 2 people at the same time!

Mkuu...Kwa haraka haraka tu by Definition...

Love is a strong feeling of affection and sexual attraction for someone...

Na hii nimeigawa katika sehemu mbili ( 2 ), yaahn...

Physical and self concious ya Maumbile ya Binadamu., aya twende mwaga Mautilio.!!!

Sasa mtu hawezi kuwa na "a strong feeling of affection and sexual attraction for someone" other than one person?
 
Binadamu kama wanyama labda tulitakiwa tupende zaidi ya mmoja lakini dini na ustaarabu ndio vikaweka ukomo kwamba ukishaoa/kuolewa basi ni huyo huyo mpaka kifo kiwatenganishe na dini nyingine wana kikomo cha kuwa na wanne na dini ya Romnesia unaruhusiwa kuwa nao wengi kama utakavyo.

Mkuu tusiwasingizie wanyama sio wote ambao wako kundi hilo, kuna hua mwenza wao akifa wanabaki na msongo wa hisia/mawazo hadi wanajifia kwa kihoro na upweke wa ajabu...

Pamoja na hayo umegusia kitu muhimu sana, suala la kuweka ukomo katika kupenda - nadhani hapo ndio pa kuanzia, mtu anaweza kupenda wawili ila akajitoa kuwa na mmoja tu...
 
Kupenda ni nini hasa? Je upendo "ninaowapa" watoto wangu unapaswa kuwa tofauti na ule "ninaompa" mke wangu (ofcourse ukiondoa suala la kujamiiana).

Binafsi naamini inawezekana "kupenda" zaidi ya mtu mmoja kwa wakati mmoja.

Kibiblia:

Du mkuu mbona unachakachua Neno?
 
It is possible to love 2 or more people, ingawa ni lazima uzito wake utofautiane kati ya mtu mmoja na mwingine! kadiri unavyo wapenda wengi ndivyo jinsi mapenzi kwao yanavyopungua kiwango kwa kila mmoja.! Ni sawa na matawi ya mto yakiwa mengi volume,speed na energy hupungua zaidi.

Mambo ya 'inverse proportion' (L1 = 1/L2)?
 
Hey guys! Are you talking loving or dating two chicks at once? you might be debating with different thinking.
 
Mimi ninachojua, ukiona unaanza ku-fall kwingine tu ujue old love ipo mashakani.........
kwani kuna mwenye mioyo miwili jamani?

FP una akili sana. Mimi nilitaka kujaribu tu kwingine kwa kuanza na dating. Aisee yaani nilipokuwa naye kma mitoko miwili, hata cmu ya kipenzi changu nilianza kuiona zito kweli. Nikasema shetani huyu anataka kuniteka. Tangia siku hiyo sihitaji kufikiria mpenzi na wala kufukuzia mwanamke mwingine kwani inaweza kuleta shida katika mahusiano. I LOVE SO MUCH MY WIFE.
 
Especially when one of them is (very) slow to love you back!
sasa ushasema when one of them is slow to love u back which means...baada ya kutokuwa loved back ndo unakwenda kwa mwengine...au upendo unahamia kwa mwengine...ila point ya msingi ni huwezi kugawa moyo 50% kwa monica na 50% kwa amina...upo hapo...
 
Hahahaha, angalia usije ukawa unakurupuka weye baba. By the way, hata kama nakurupuka, i got nothing to loose, dont you think?
Yaani wewe kaka yangu! I saw this coming!
But in the end, the downfall will be more painful than pain itself. I really hope you will be able to take the punch. And i really hope some more, that you calculated the risks well enough.
You can do anything in this world, as long as you are prepared to face the cosequences. Source: mama king'asti
There is lust,
and there is love.
 
love two at the same time?

You love once in a life time, wengine ni mazoea tu
 
FP una akili sana. Mimi nilitaka kujaribu tu kwingine kwa kuanza na dating. Aisee yaani nilipokuwa naye kma mitoko miwili, hata cmu ya kipenzi changu nilianza kuiona zito kweli. Nikasema shetani huyu anataka kuniteka. Tangia siku hiyo sihitaji kufikiria mpenzi na wala kufukuzia mwanamke mwingine kwani inaweza kuleta shida katika mahusiano. I LOVE SO MUCH MY WIFE.
Umeona eeh! Kama kweli unapenda na moyo there is nothing like kugawa penzi, no way...........
sasa is uliona yaliyokukuta? Hata akikuita mpenzi unakunja sura badala ya kutabasamu, lol!
 
FP; mbona avatar yako ina-suggest kuwa unaunga mkono maada?
Jamani kulikoni avatar yangu? Mbona Kila mtu anaisema anavyotaka? Mbona mimi sizisemi zenu? Huku ni kuninyanyapaa, na kuanzia leo mtu akinisema nabonyeza abuse........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom