Confirmed: It is possible to love 2 people at the same time!

ni kweli kabisa
unampenda x but x hakupendi...unaishia tu kula kwa macho maana hamuwezi kuwa pamoja
unampenda y na y anakupenda...unaishi na love ya y but love ya x ipo pale pale but hii ni immposible in action! sio kila unachokipenda lazima ukipate jamani...
 
Mimi namiliki mademu wanne na wote nawapenda, pia hawajuani.

Wa kwanza kuku wa kisasa flan hivi, huyu nampenda kwa ajili ya kutoka nae tu, maana hua naosha nae sana njiani. Kiasi inaniongezeaga status maana watu wanajua mi ni mtu fulan hivi mahal.

Wa pili ni kuku wa kienyeji fulani hivi. Yeye amefuzu kunako majamboz, na ndicho nachompendea maana anayajua hasa.

Wa tatu ni msanii a.k.a misheni town a.k.a paka mapepe. Huyu nae nampenda sana maana nkiwa nae sikosi dili za hela. Huyu nampendea pia story. Udaku mwingi tu naupatia kwake.

Wa mwisho naempenda ni denti fulan hivi wa Form 5 Makongo. Huyu nampendea sababu ya kujiondolea stress za maisha. Yaani nkiwa nae ananikumbushaga miaka ile nipo kulakulala kwa baba sina majukumu yoyote.

Wote hawa nawapenda sana

can't be searious ...naona unatufurahisha tu
 
ni kweli kabisa
unampenda x but x hakupendi...unaishia tu kula kwa macho maana hamuwezi kuwa pamoja
unampenda y na y anakupenda...unaishi na love ya y but love ya x ipo pale pale but hii ni immposible in action! sio kila unachokipenda lazima ukipate jamani...
smile mwezangu naona kila mada humu leo wewe wakwanza kuchangia du haya bana
 
Yeap unaweza kabisa, and i'm quite sure you can love an number of people at the same time :bounce:
 
It is possible to love 2 or more people, ingawa ni lazima uzito wake utofautiane kati ya mtu mmoja na mwingine! kadiri unavyo wapenda wengi ndivyo jinsi mapenzi kwao yanavyopungua kiwango kwa kila mmoja.! Ni sawa na matawi ya mto yakiwa mengi volume,speed na energy hupungua zaidi.
 
Kupenda ni nini hasa? Je upendo "ninaowapa" watoto wangu unapaswa kuwa tofauti na ule "ninaompa" mke wangu (ofcourse ukiondoa suala la kujamiiana).

Binafsi naamini inawezekana "kupenda" zaidi ya mtu mmoja kwa wakati mmoja.

Kibiblia:

(1 Wakorintho 13: 4-7)[SUP]4 [/SUP]Love is patient, love is kind. It does not envy, it does not boast, it is not proud. [SUP]5 [/SUP]It does not dishonor others, it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no record of wrongs. [SUP]6 [/SUP]Love does not delight in evil but rejoices with the truth. [SUP]7 [/SUP]It always protects, always trusts, always hopes, always perseveres.


(Waefeso 5:25-27)
[SUP]25[/SUP] Husbands, love your wives, just as Christ also loved the church and gave Himself up for her; [SUP]26[/SUP] that He might sanctify her, having cleansed her by the washing of water with the word, [SUP]27[/SUP] that He might present to Himself the church in all her glory, having no spot or wrinkle or any such thing; but that she should be holy and blameless.
 
hebu toa definition yako ya love tuipime (kiimpirikali/kisayansi) tuone kama inaruhusu kupenda zaidi ya mtu mmoja kwa wakati mmoja, rhuksa kuigawa definition yako katika mafungu yafuatayo:

1. emotion/feeling/heart

2. decision/rational/mind

Mkuu...Kwa haraka haraka tu by Definition...

Love is a strong feeling of affection and sexual attraction for someone...

Na hii nimeigawa katika sehemu mbili ( 2 ), yaahn...

Physical and self concious ya Maumbile ya Binadamu., aya twende mwaga Mautilio.!!!
 
Mhhh! mie sio mwanasayansi halafu ukiangalia haya mahusiano ya leo duniani kote unasikia binadamu wakilalamika kuhusu cheating ilivyoongozeka ndani ya ndoa au hata katika mahusiano ya kawaida. Binadamu kama wanyama labda tulitakiwa tupende zaidi ya mmoja lakini dini na ustaarabu ndio vikaweka ukomo kwamba ukishaoa/kuolewa basi ni huyo huyo mpaka kifo kiwatenganishe na dini nyingine wana kikomo cha kuwa na wanne na dini ya Romnesia unaruhusiwa kuwa nao wengi kama utakavyo.

Siku hizi utawasikia wengine utakuwaje na mtu mmoja kwenye mapenzi kwa miaka yote hiyo tuseme 30 au 40 ndio maana wengine wanafunguka na kutaka open marriage au ndoa za mikataba ili waweze kujirusha kwa raha zao. Hili somo ni gumu Mkuu wengine wanavutia huku na wengine wanavutia kule.




wewe kama mfuasi wa dhahania ya kupenda mtu mmoja tu kwa wakati mmoja hebu leta utetezi wa kisayansi kuonyesha kuwa mtu hawezi kupenda wawili kwa wakati mmoja; nasema utetezi wa kisayansi kuanzia kwenye kemia hadi bailojia na saikolojia ya ya mapenzi (chambua na linganisha viwango vya adrenaline, serotonin na chachu zingine zinazomwagika wakati wa kupenda); na kama unaweza leta na uchambuzi wa kithiolojia tukianza na uchambuzi wa daudi, bethseba, michal na abigail kabla hatujahamia kwa mwenye hekima suleiman na kumalizia na baba abrahamu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom