Confirmed: It is possible to love 2 people at the same time!

Unapenda wawili wewe eeh! hongera zako Mkuu, halafu 2013 utarudi tena hapa kumbe unaweza kupenda watatu hahahaha lol! ni waongo wote waliosema kikomo cha kupenda ni wawili tu lol!...Utamweza BAK na nyimbo zake? Saa nyingine zina uhusiano na mjadala husika na wakati mwingine ni kuchangamsha jamvi tu. :fencing:

Siku na kazi Njema Wakuu FP & Companero

Tumedanganywa kwa muda mrefu eti oo huwezi kupenda wawili kwa wakati mmoja, kumbe inawezekana aisee
 
ngoja nikuchambulie
 
Tumedanganywa kwa muda mrefu eti oo huwezi kupenda wawili kwa wakati mmoja, kumbe inawezekana aisee

Hongera, l am sure na hao wawili uliowapenda nao wanaweza penda wawili wawili na hao wapenzi wao nao wanapenda wawili wawili na mtandao unakuwa, hasa ukizingatia '....one of them wawili might not honestly be returning the love back'
 
mbona ham-deal na fact, mko kwenye denialism tu
 
Yaani wewe kaka yangu! I saw this coming!
But in the end, the downfall will be more painful than pain itself. I really hope you will be able to take the punch. And i really hope some more, that you calculated the risks well enough.
You can do anything in this world, as long as you are prepared to face the cosequences. Source: mama king'asti
There is lust,
and there is love.
 
Which facts?

Umempenda mtu hajakupenda in return kama ulivyotegemea, una mawili kuvumilia au kumuacha na kujifunza kumpenda anayekupenda.

Au unachanganya na kumtamani mtu, au kumuadmire?
 
Acha kukurupuka na mahubiri. Hakuna mtu aliyesema hakuna tofauti kati ya lust na love. Wala hakuna mtu aliyesema kupenda watu wawili kwa wakati mmoja maana yake ni kuwa na watu wawili kwa wakati mmoja.
 
Which facts?

Umempenda mtu hajakupenda in return kama ulivyotegemea, una mawili kuvumilia au kumuacha na kujifunza kumpenda anayekupenda.

Au unachanganya na kumtamani mtu, au kumuadmire?

Punguza jazba, naona sasa unaleta longolongo za 'kujifunza', haya mambo ya kujifunza kupenda ni uongo na matokeo yake ni kukaa na watu tusiowapenda kisa tunadhani tutajifunza; kupenda ni kupenda, hujifunzi kupenda - unapenda.
 
Unapenda wawili wewe eeh! hongera zako Mkuu, halafu 2013 utarudi tena hapa kumbe unaweza kupenda watatu hahahaha lol! ni waongo wote waliosema kikomo cha kupenda ni wawili tu lol!...Utamweza BAK na nyimbo zake? Saa nyingine zina uhusiano na mjadala husika na wakati mwingine ni kuchangamsha jamvi tu. :fencing:

Siku na kazi Njema Wakuu FP & Companero

wewe kama mfuasi wa dhahania ya kupenda mtu mmoja tu kwa wakati mmoja hebu leta utetezi wa kisayansi kuonyesha kuwa mtu hawezi kupenda wawili kwa wakati mmoja; nasema utetezi wa kisayansi kuanzia kwenye kemia hadi bailojia na saikolojia ya ya mapenzi (chambua na linganisha viwango vya adrenaline, serotonin na chachu zingine zinazomwagika wakati wa kupenda); na kama unaweza leta na uchambuzi wa kithiolojia tukianza na uchambuzi wa daudi, bethseba, michal na abigail kabla hatujahamia kwa mwenye hekima suleiman na kumalizia na baba abrahamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom