Confirmed: Huyu Mod Kumbe Mzaramo............!

kama mmeshindwa mtaja mie namtaja, kwanza avatar yake imekaa up side down, pili mwandiko wake mbaya kama wa bata atoka ogelea. . . tatu na mwisho anapenda kuandika huku kachutama. si nimepatia?????
 
Unafikiri ikiwa usiku ndio kazi hafanyi....thubutu kutaja jina uone
 
mbona nshataja, afu anapenda kutumia rangi ya hudhurungi katika post zake. mbona nimetaja features zake zote bdo hujamfahamu tu. kama kujamfahamu basi kichwa chako ni km cha dhaifu!!!!!!
 
Back
Top Bottom