Confirmed: Huyu Mod Kumbe Mzaramo............!

sasa mi nalala best, usisahau kuhusu makutano. Nitakuwepo pale kuanzia sa 12asbh. Muda wowote we ufike.... Ila plz usinitose kama ulivyofanya leo. Hahaha!

Hahahaha kukutosa itakuwa ngumu.....si nimekuambia kesho nna zamu ya kwenda sokoni na lazima niibe mia 5???.....we nisubirie pale pale lol!

Usiku mwema mpendwa!
 
Hasara roho baba pesa makaratasi tu.....we sema sh ngapi!

Laki si pesa milioni matumizi.......Naomba tukutane tukiwa wawili nkupige tution, darasa liaanza saa 6 usiku up to majogoo. Staili zote za sentensi, minyumbuko na tashtiti za maneno mapya tutazikabili
 
Hahahaha kukutosa itakuwa ngumu.....si nimekuambia kesho nna zamu ya kwenda sokoni na lazima niibe mia 5???.....we nisubirie pale pale lol!

Usiku mwema mpendwa!

ahsante mpenzi, halafu ukifika uniambie hiyo post aliyoniquote Kiranga amemaanisha nini.
 
Last edited by a moderator:
Angalia mwalimu usije mkimbia mwanafunzi......mie ntatia timu mida hiyo!

Back
Top Bottom