Confirmed: Huyu Mod Kumbe Mzaramo............! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Confirmed: Huyu Mod Kumbe Mzaramo............!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by platozoom, Sep 14, 2012.

 1. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Ni mod anayependa sana kujibu kwa kizungu hata kama umemuuliza kwa Kiswahili. Tulimwajiri miaka 5 iliyopita na tukampa "Terms and condition", na alituvutia kwa sababu alituambia yeye ni msomi wa kiwango cha shahada ya uzamivu, (Kwa wapenda kizungu hiyo ni P.H.D yaani Pure Head Damage).......

  Na zaidi ya hapo akatwambia yeye ni shombeshombe au Suriama yaani kachanganya damu: Baba Mmarekani na mama Mgiriki, na pia amerudi DAR na kuishi Masaki. Haikutupa kazi sana kumkubalia kwa sababu alikuwa anatema ngeli si mchezo.

  Sasa tatizo liko hapa, tumegundua kwamba alitudanganya........Kwanza si shombeshombe wala mboshemboshe pili hana hiyo PHD tatu haishi Masaki

  Kifupi ni mzaramo wa Maneromango, mama yake alizaliwa Kimanzichana na kwamba anaishi Mwananyamala kwa Kopa na kuwa elimu yake ni Darasa la saba alilomaliza kwa taabu sana mwaka 1989.

  Mtaanza kusema kiingereza kajulia wapi........Kifupi tumegundua alishawahi kufanya kazi kwa Mzungu mmoja maeneo ya Mbezi miaka kadhaa iliyopita, na huko ndipo alipojulia Ung'eng'e.

  Kwa hiyo msione kila mkimuuliza kwa Kiswahili anawajibu Kiingereza ni kwa sababu kama mnavyofahamu "Mswahili akipata................"

  Wasalaam platozoom

  Note: Comment at your own risk terms & condition applied
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,219
  Trophy Points: 280
  shemeji yangu kakufanya nini?
  ilhali hata ban hajakupiga?
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Nimeshamjua,hapo ban isipokuhusu ntakubali kuwa kweli yeye ni mzaramo maneno mengi vitendo hamna
   
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  ukute ndiye yule alimpa ban kipindi kileeeeeeee! lol, platozoom mzima wewe??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Sio kwamba unamsema Bujibuji .... ?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Una utani na Fang wewe!
   
 7. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Mie mzima........Hivi uliona wapi JF Founder anapigwa ban?
   
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Acha uwoga nani unamzungumzia?
   
 9. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  It is Confirmed! huna haja ya kuwa na shaka......
   
 10. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Tehe tehe kama atakuwa Mod basi kanjanja
   
 11. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  At your own risk!!!
   
 12. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo umeleta thread kututega kwa ban?
  Mod anaye qualify bandiko lako ni Fang!
   
 13. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Hapa kuna mtego wa panya.. Sigusi kitu, ngoja ninyate tartiib naondoka na msiseme kuwa nilipita hapa tafadhalini wajameni.
   
 14. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Usihofu nitakulinda
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa natafuta uchochoro wa kupita nikapotea na kujikuta humu. Napita tu jamani!
   
 16. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #16
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Ohoooo!!! Kubwa la maadui Fang hiloooo linakuja. Mie simoooo!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Name calling: Rem. JF Rules
   
 18. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kumradhi! Nimekosea njia!
   
 19. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mungu wangu, we Fang ujue mi sijakomenti chochote
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Hujapotea bana
   
Loading...