Haiko shaka, utajua hata viunga na mashamba yake. Almuradi heri tu nisije kukupeleka huko Mwali atoka, au ukaona gendaeka la Pazi laenda madogolini ukapiga ukelele.
Wewe naye acha uoga mbona Kiswahili alichoongoea Kiranga rahisi sana Kisokula mlimwengu,sera nale.
mkuu hayo mazaga zaga gani tena? Ujue kiranga akibadili lugha hapa mie na sweetlady utakuwa ushatupoteza.
dah, hapa naona hata kiswahili kinaanza kunipiga chenga. Sweetlady niokoe. Madogolini ndio wapi tena?
Wewe naye acha uoga mbona Kiswahili alichoongoea Kiranga rahisi sana Kisokula mlimwengu,sera nale.
Hahahaha tena atatupoteza kwa muda usiopungua wiki mbili
Ulimwita mwenyewe mama .....hangaika nae lol.....mie akuuuu simo!
[font="] [/font] mnyamaa kadumbu
Hahahaha tena atatupoteza kwa muda usiopungua wiki mbili
sweetlady unamaanisha BAN?