Hizo ni story tu!
Marekani wapuuzi sana,sasa wamenasa hadi faragha ya Merkel. Zile deka deka za kina mama kwenye simu n.k. Huyu mama atakuwa kavimba sana maana jamaa watakuwa wamemvua nguo.
acha uvivu wa kutafuta data wewe na usikariri,kinaendelea ni kwel,na wamarekan wanamitambo ubalozini kwao pia ambapo ni karibu na makao makuu ya germany,
Naomba ushahidi wa haya madai yako ili tuone mimi na wewe ni nani mvivu wa kufikiri!
Ni nini tofauti ya story na habari?Eiyer kwanza hi sio story ni habari
Hii inaondoa maana nzima ya thread hiiunataka ushahidi kitu kipo katika investigation?
kama ni wa bibi angela kuwa under surveillance by NSA
subiri team ya intelligence wa german wafanye investigation
Mkuu hapo umepatia, lengo kuu la USA dhidi ya Ujerumani na washirika wao i.e NATO ni la kiuchumi zaidi hasa hasa uhuzaji silaha na mitambo mikubwa kupitia kwenye tenda. USA ina kawaida ya kupeleleza washindani wake kibihashara ili ikitangazwa tenda yoyote Duniani wawe na uwezo wa kujuwa in advance wenzao wanasema nini, watatumia mbinu gani kufanya lobbing kwa potential WANUNUZI wa mitambo au silaha - USA ikisha kusanya taarifa zote hizo inakuwa ni rahisi wao kuwazunguka wenzao na kuwazidi kete.Kama ni ujasusi wa kiuchumi hio haina shida.....
Naomba ushahidi wa haya madai yako ili tuone mimi na wewe ni nani mvivu wa kufikiri!
unataka ushahidi gan kwan husomi vyombo vya habr,haya mi naishi huku huu mwaka wa nne,nakwambia kila kitu ni kwel,hakuna kilichopindishwa hapo.usikarir kila kitu,kibisha ili uonekane unajua kuandika humu ama et unahoja sana hapana
Mkuu hapo umepatia, lengo kuu la USA dhidi ya Ujerumani na washirika wao i.e NATO ni la kiuchumi zaidi hasa hasa uhuzaji silaha na mitambo mikubwa kupitia kwenye tenda. USA ina kawaida ya kupeleleza washindani wake kibihashara ili ikitangazwa tenda yoyote Duniani wawe na uwezo wa kujuwa in advance wenzao wanasema nini, watatumia mbinu gani kufanya lobbing kwa potential WANUNUZI wa mitambo au silaha - USA ikisha kusanya taarifa zote hizo inakuwa ni rahisi wao kuwazunguka wenzao na kuwazidi kete.
Kunusana imo kwenye Principles of International Relations. Kila nchi inafanya hili jambo. Jirani zetu Rwanda hawalali
mpaka wajui JK anafikiria nini.