Confirmed:hali tata kati ya Marekani na Ujerumani.

Confirmed:hali tata kati ya Marekani na Ujerumani.

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
8,029
Reaction score
5,814
Hii ni kufuatia kudokolewa kwa mazungumzo ya Kansela wa Ujerumani Angeler Markell kwenye simu yake na shirika la NSA. La Marekani, mpaka sasa Balozi wa USA nchini Ujerumani ameitwa kujieleza,ila Obama na serikali yake wamekanusha taarifa hiyo. Je nini kitatokea wakati Umoja wa Ulaya ukikutana leo mjini Brussles Ubelgiji? Lets keep loading......

Source:BBC WORLD NEWZ.
 
kama pia umepata wasaa wakupitia baadhi ya habari za BBC kwenye jukwaa la Technology pia utaona Ufaransa wanawashutumu wamarekani kwa kuimplant spyware ambayo imechange kuwa software kwenye machine za wafaransa,hii pia ina nikumbusha jinsi USA na Israel walivyo tuma virus alie broke na kuiba data kwenye computer za wa Iran katika Nuclear plants,pia inanikumbusha ugomvi na uhasama wa chinichini unaonendelea kait ya wamarekani,Wajeruman na wafaransa kama unakumbuka kauli tata ya defense secretary kipindi cha G.W.BUsh Don Rumsfeld alivyo toa kauli tata kwa wajerumani na wafaransa "I don't. I think that's old Europe."
 
Sasa hali tata ikowapi hapo?? Wabongo wambea sana!! Si afadhali huyo wana hack mawasikiano yake!! Mbona office nyingi za mawaziri, na office za kina mwema na kova waliingia na mbwa kuwachunguza!! Hao ndio Marekani bwana!! World Police

We unaumwa kweli sasa hapo ni kipi afadhali? Ukaguliwe na Mbwa au ukaguliwe kwa kufuatiliwa mawasiliano yako kwa Siri? JIPANGE na hao unaowasifia
 
Searching.......................................:A S-confused1:
 
Inamaana Marekani hawaamini hata washirika wake mpaka awe anawachunguza kiasi hicho au hofu yake hasa ni nini?
 
Eee mola muweza wa yote!tunakuomba sisi tulio wanyonge ufanye namna taifa la marekani lianguke kama yalivyoanguka mengine mengi yaliyopita....e mungu utusaidie kutuepuhsa na hawa maagent wa shetani hawa wasifia maovu na washirika wake uwachanganye na kuwavuruga kama ulivyofanya pale babeli...amen
 
Sasa kama USA ameweza kuingililia mawasiliano Kansela wa Ujerumani na Raisi wa Ufaransa je kwa akina Jk na akina Kagame.?
 
Ni bora wanase mazungumzo ya viongozi wa magaidi ili wawamalize kuliko kuitumia teknolojia hiyo dhidi ya rafiki zao!
 
Ujuzi ukipitiliza ndiyo shida zake, marekani wanaweza hata kukuchungulia ndani kwako if they want to, wako advanced sana kwenye technologia ya ki-electronic;

We fikiria walikuwa live (on sky) wakati wanamshambulia chief wa ugaidi duniani kule pakistani - jamaa wako njema.
 
umenena mkuu hawa jamaa wamezidi halafu hawaamini hata washirika wao kwani wamewachunguza Ufaransa na Ujerumani kwani kwa hili sikutegemea ata kidogo kwamba NSA wangemchunguza kansela wa Ujerumani ngoja tusubirie hicho kikao cha umoja wa ulaya utazungumzia nini.

Ujuzi ukipitiliza ndiyo shida zake, marekani wanaweza hata kukuchungulia ndani kwako if they want to, wako advanced sana kwenye technologia ya ki-electronic;

We fikiria walikuwa live (on sky) wakati wanamshambulia chief wa ugaidi duniani kule pakistani - jamaa wako njema.
 
Eee mola muweza wa yote!tunakuomba sisi tulio wanyonge ufanye namna taifa la marekani lianguke kama yalivyoanguka mengine mengi yaliyopita....e mungu utusaidie kutuepuhsa na hawa maagent wa shetani hawa wasifia maovu na washirika wake uwachanganye na kuwavuruga kama ulivyofanya pale babeli...amen

Endelea kuota hivyo hivyo....
 
haha, hadi wajerumani nao mabingwa wa kuingilia mawasiliano ya watu wamekamatika, marekani kiboko
 
Hii ni kufuatia kudokolewa kwa mazungumzo ya Kansela wa Ujerumani Angeler Markell kwenye simu yake na shirika la NSA. La Marekani, mpaka sasa Balozi wa USA nchini Ujerumani ameitwa kujieleza,ila Obama na serikali yake wamekanusha taarifa hiyo. Je nini kitatokea wakati Umoja wa Ulaya ukikutana leo mjini Brussles Ubelgiji? Lets keep loading......

Source:BBC WORLD NEWZ.

umbea mwingine sio mzuri. Sasa hiyo hali tata iko wapi? na mambo ya Ujerumani na USA yanatuhusu nini watanzania. Alafu vilaza vingine wanakusapoti
 
Back
Top Bottom